Ushauri: Nimjibuje Ma'mkwe meseji yake hii ya G9t

Ndio maana kasema anakukumbusha yaani usisahau wajibu wako wa kupanda mbegu.... miezi miwili mbona mingi kwan unadhani wanaendaga honey moon kushangaa.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Msg hii imenitoa kwenye mood na usingizi wangu umepaa kabisa. Badala ya kulala naona kama kumeishapambazuka na siwez kulala tena. Mama mkwe ameniandikia...

"Lala unono mwanangu. Leo nilikua na siku ndefu lakn pia nilitingwa nikashindwa kukujulia hali. Vipi mipango yako imeendaje? Na mwenzio je, anaendeleaje? Nawaombea kila ninapolala ili usingizi wenu uzae matunda maana siku zinakwenda. Nawapenda sana, nisikucheleweshe."

Nawaza jinsi ya kuijibu, lakini najiskia kufadhaika pia
Tia mimba ww acha storu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww kaa kimyaaa au jib sawa kwisha maneno meng yataharibu Aman yenu buree
 
Msg hii imenitoa kwenye mood na usingizi wangu umepaa kabisa. Badala ya kulala naona kama kumeishapambazuka na siwez kulala tena. Mama mkwe ameniandikia...

"Lala unono mwanangu. Leo nilikua na siku ndefu lakn pia nilitingwa nikashindwa kukujulia hali. Vipi mipango yako imeendaje? Na mwenzio je, anaendeleaje? Nawaombea kila ninapolala ili usingizi wenu uzae matunda maana siku zinakwenda. Nawapenda sana, nisikucheleweshe."

Nawaza jinsi ya kuijibu, lakini najiskia kufadhaika pia
Mama mkwe yupo sahihi kabisa, kama hatuoni matunda ya ndoa hutaki tuseme? Acha kutoa povu we "Piga kazi, ikiwezekana kutwa mara tatu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msg hii imenitoa kwenye mood na usingizi wangu umepaa kabisa. Badala ya kulala naona kama kumeishapambazuka na siwez kulala tena. Mama mkwe ameniandikia...

"Lala unono mwanangu. Leo nilikua na siku ndefu lakn pia nilitingwa nikashindwa kukujulia hali. Vipi mipango yako imeendaje? Na mwenzio je, anaendeleaje? Nawaombea kila ninapolala ili usingizi wenu uzae matunda maana siku zinakwenda. Nawapenda sana, nisikucheleweshe."

Nawaza jinsi ya kuijibu, lakini najiskia kufadhaika pia
Mjibu kulingana na mipango yako ilivyokwenda, usisahau kumwandikia
"Nami nawatakia usiku mwema baba na mama mkwe wangu"

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Jibu hivi,

"Asante sana mama kwa kutujali, tunafarijika sana kupata salam zako.
Ondoa wasiwasi maana tangu tumeanza kulala ndo kwanza tunapumzika, na tutaendelea kulala zaidi, acha niendelee"
 
Back
Top Bottom