Selemani See
Member
- Aug 27, 2023
- 20
- 30
Kajitambulishe kwao mfunge ndoaWadau nisaidieni nifanye vitu gani ili aamini kwamba nipo serious. Inshort, yule mrembo ni mgumu.
Mtumbwi wa vibwengo ushakutana na kitu kizitoniendelee hivihivi kumjali mpaka atakapo amini kweli nipo serious.
Wamekuwekea na mafuta humo kikaangoni??
Idea nzuri. Binafsi najitegemea ila yeye bado mtoto wa mamaSubiri life kwanza... Maana mnaonekana bado wadogo mkishatoka mkaanza kujitegemea huwa misimamo kama hiyo inaisha
šUnaendwa kupigwa na kitu cha Ncha kali... Hilo sharti alilokupa ndo zile points zetu za kufaulisha... Forced labor, Land alienation, Low technology, Exploitation na Poor Technology
24Ndugu Seleman una miaka mingapi mkuu??
š³Unataka uoe Nini?
Umesahau poor gorvement supportUnaendwa kupigwa na kitu cha Ncha kali... Hilo sharti alilokupa ndo zile points zetu za kufaulisha... Forced labor, Land alienation, Low technology, Exploitation na Poor Technology
Bado una miaka 8 hadi 10 ya kuona wanawake wenye sifa kama za huyo anayekukaanga saizi. Ongeza umri na pesa. BTW huo umri wako ndio ule umri wa ukinywa maji unamuona kwenye glass.
NakaziaBado una miaka 8 hadi 10 ya kuona wanawake wenye sifa kama za huyo anayekukaanga saizi. Ongeza umri na pesa