Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 761
- 1,006
Jana niliafikiana na fundi kazi ya kutengeneza geti. Akanipa mchanganuo wa vifaa, ambapo miongoni mwa mahitaji ni square pipes 11 za inch. 1.5.
Fundi alinitajia bei ya Sh. 27,000/- kwa kila moja, hivyo jumla ni 297,000/-,
Nami nikampatia pesa taslim (nilighafilika tu) na advance ya kazi.
Leo nimepitia pale hardware kufanya maulizo ya vitu, Kumbe zile square pipes zinauzwa Sh. 17,000/- ambapo kwa pipes 11 ni sawa na Sh. 187,000/-.
Ambapo 297,000 - 187,000 = 110,000/-.
Hivyo fundi amenipiga 110,000/-,
Na bado ananidai Labour Charge ya 100,000/-.
Je, ni sawa mimi ku deal naye kisheria juu ya pesa aliyonipiga kwenye vifaa?