Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,319
- 185,274
Kwani ana mke? Huyu ni mdunguaji tu, wala hajafikia umri wa kuoa bado.tulia na mke wako aisee, bikra sio tiketi ya uaminifu.
Kwanini ulipokuta hakuna bikra uliendeleza hadi kupandikiza mbegu ukapata mtoto kama shida yako ilikuwa bikra?Sio tu kanizalia lakini naishi nae bila ndoa ila kwao na kwetu wanajua ndo mke sema tu sijakamilisha taratibu kwa sababau zangu binafsi but pamoja kwamba naishi nae hakuwa na sifa hii ya huyu binti ,mabaharia walishamenya ndo tatizo hilo,haaaa
Mimi sio muislam ni mkristo jina ko labda huyu mpya anishawishi niwe mkristo wa ukweli maana mimi sio muumini wa kufungana pingu za maisha