Ushauri: Nimempa mimba msichana na tayari nina mchumba

Ushauri: Nimempa mimba msichana na tayari nina mchumba

Huyo mchumba wako humpendi, na hayo mapenzi unayo sema yanaonekana ni ya kinafiki. Kwa maana kama ungempenda mchumba wako, ungemlinda. Inaoneka wewe bado utoto unakusumbua. Sasa cha kufanya, oa uliyempa mimba.
 
"...ni wanaume wajinga pekee ndio hudai kuwa walilazimishwa ama kushawishiwa na mwanamke kufanya uzinzi...."
Monica Lewinsky
 
Pia anaweza akawa amekutegeshea tu sababu huwa anakuzimikia tangu kitambo, labda hiyo mimba alidungwa na mwingine kwanini aanze tu eti aseme aje aishi na wewe mjini, labda anataka tu wewe ndio uwe daraja la yeye kuja dar. Think big mkuu

Niliwaza ivi ivi,,
All in all atupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom