Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

mwache azae ulee mtoto kuwa na mtoto na mtu siyo lazima umwoe au uolewe naye kikubwa sikiliza moyo wako usifanyie majaribio life time commitment(ndoa)
 
Hahahaaaa. Itakuwa kinachomliza ni faida ya siku moja aliyoipata ambayo hakuitarajia.
Ha ha ha ha haaaaa, hizo ndo return za risk, alitakuwa afahamu jinsi ya kuziepuka hizo unexpected return kwa kutumia vizuizi, sasa hivi asingekuwa nalialia hapa kama angeweza kukumbuka kuwa kuna kutumia vizuizi.
 
Hahahaaa. Ila kama mwanamke tu aliogopa kurudi akaamua amlaze kwake unadhani uwezo wa kwenda kufuata hivyo vizuizi ingekuwepo basi, labda kama angekuwa na akiba ya vizuizi home.
 
Hahahaaa. Ila kama mwanamke tu aliogopa kurudi akaamua amlaze kwake unadhani uwezo wa kwenda kufuata hivyo vizuizi ingekuwepo basi, labda kama angekuwa na akiba ya vizuizi home.
Ha ha ha haa ndo maana aliamua kutake risk kwa kujilipua, xo hayo ndo matunda yake ayafurahie tu hana jinsi
 
Nani atakua wa ndoto zake sasa,, angekua Ni bint yangu ningekukamatia mpaka umuoe,,, yanini kumchezea mtoto wa watu
 
Acha kulialia, mchukue ukampime mimba, kama ni kweli basi wajibika nae
 
Mkuu hujategeshewa kweli mzigo huo..? Kwa maelezo yako nikiiyaangalia kwa jicho la tatu, naona kama demu alikuwa tayari na mzigo akawa anamtafuta wa kumdondoshea, meaning either hakuwa na uhakika wa baba wa mtoto au alishatoswa.. Haiwezekani aombe kulala ghetto kirahisi hivyo..
Yap ndio nachokiona hapa, jamaa kaangushiwa jumba bovu
 
Wa ndoto yako nae kashabeba ya mtu mwingine kwahiyo Endelea na huyohuyo Mkuu. Wewe mwenyewe umeshaharibu ndoto ya mtu hapo
 
Back
Top Bottom