Hao majambazi na matapeli mbona hawakamatwi ki rahisi hivyo?Wew unaewaza kubadili line inawezekana kuna kitu ambacho unahusika na unatafta namna ya kukikwepa,Hata ukibadili line au ukikaa bila Simu,wakitaka watakupata tu labda wasidhamirie kukupata, Cha mhimu nenda wasikilize ila uende na ndg wa Karibu na Usikubali mkutane au mzungumze sehemu ambayo sio kituo cha polisi,Mazungumzo yenu lazima yawe kituo cha Polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Me alinambia niende central au wanaweza wakanifuataHakikisha ni polisi kweli na sio tapeli, ukajikuta unaingia hasara ya kumlipa wakili kumbe hakuna cha wito wala nini.
Kama ukijiridhisha ni polisi kweli, jitathimini mienendo yako. Ukijua kuna mahali ulibugi, fix mapema, maana wakikutia nguvuni utakosa muda wa kufukia madudu yako, ukishafix sasa, beba mwanasheria nenda nae.
Kama huna madudu yoyote, basi mchukue msela wako tu na barua za zamana kutoka kwa mtendaji ziwe stand by.
Jiamini, nendeni mkawasikilize.
Huu sio ushauri sahihi. Watampata kupitia namba za aliokuwa anawasiliana nao na atakuwa ameongeza kesi nyingine ya kuzuia Afisa kutekeleza majukumu yake.Dogo kama ulinunua simu mkononi usiende vunja line na simu ipasue uendelee na mambo yako vinginevyo utapewa kesi ya mauaji na itakutoka zaidi ya M kadhaa kusawazisha mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima uende central, fika kituo cha polisi chochote cha karibu, waeleze. Watawasiliana nae kipolisi kujiridhisha uhalali wa huo wito
Kuitwa sio tatizo ,mie naona tatizo ni kuisadia Polisi hapo!!Habari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jambazi/mhalifu unawasiliana naye au mtu wako wa karibu?
Aliyekuita alijitambulisha vipi na wewe unamwamini vipi kuwa ni polisi na si tapeli au mwenye nia mbaya na wewe?
Kama upo ok chukua mtu wa kukusindikiza ambaye atakuwa nawe in case of anything. Ili ukatoe ushirikiano kwa kile unachokifahamu.chukua jina la askari husika na namba yake. Nenda kituoni uliza kama kuna mtu mwenye jina na namba hiyo.then waambie amekuita kwa simu unataka onana naye ukiwa na mtu amekusindikiza na umeoa taarifa kwa watu wa karibu.
Then waoneshe ushirikiano.
Kama unatembea na mke wa mtu na chats zenu zimeonekana ni issue ujue. Ombea mwenye mke asiwe karibu akakuona na jinsi ulivyokuwa ukitamba kwenye chats kwa kumkunja mkewe pasipo huruma.