Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

Habari zenu,

Naombeni ushauri wenu ili niepuke na hii hali,

Kama mtu atashindwa kunishauri naomba aache maana sipendi kutukanwa.

Mimi ni binti ni mkazi wa Dar ila kikabila nimetokea mkoa uliopo karibu na Kanda za Ziwa, na mshukuru Mungu kaniumba msichana wa kawaida sina uzuri kama malaika wala sina ubaya ni wakawaida tu, nimepitia maisha ya mahusiano yenye kuniumiza sana, mara ya kwanza nilikuwa na mvulana ambaye ni msukuma wa Shinyanga kipindi nimeanza mahusiano yeye alikuwa chuo nikamvumilia sana mpaka akamaliza chuo.

Mungu akamsaidia akapata kazi katika ofisi moja kubwa tu hapa Dar alikuwa ni mwanasheria, nilijitahidi niwe mwaminifu nikijua atakuwa mume wangu lakini alikuwa ni mtu muongo na kunidanganya sana, nikaja kugundua kumbe aliacha mchumba wake kwao na alikuwa na watoto wawili niliumia sana nikapiga moyo konde nikaanza maisha mapya.

Badae nilipata mtu mwingine alikuwa ni mfanyakazi wa kampuni moja ya simu kubwa tu hapa Tz huyo kijani alikuwa ni mchagga na mshukuru Mungu katika swala la kunijali alinijali sana yeye alikuwa anasali haya makanisa ya kilokole mimi ninasali Lutheran, kweli tulipendana sana ikafika muda wa kunipeleka kwao ila mama yake mzazi alitokea kunichukia ghafla, hivyo sikuona sababu ya kuendelea nae huku mama yake hanipendi na nikamwambia bora tuachane kuliko kukosa baraka kwa wazazi wako kisa mimi, japo niliumia sana nikamuomba Mungu anipe ujasiri, siku zikaenda nikasahau nikajipa moyo ipo siku.

Baadae nikampata mwanaume mwingine ambaye nilidumu naye zaidi ya miaka minne, kwakweli namshukuru Mungu amenipa moyo wa uvumilivu na sina tabia ya uhuni au tamaa za muda mfupi huyu alikuwa ni msukuma tena wa Mwanza na kiukweli alikuwa kijana mwenye hofu na Mungu sikutegemea kama angenibadilikia baadae, alikuwa anafanya kazi kwenye mgodi mkubwa wa Tz na ndugu zake wengi walikuwa Mwanza hivyo Dar alikuwa anaishi na kaka yake tu hivyo hakuwa mwenyeji sana huku na kama ikitokea kaja Dar likizo basi alikuwa anakuja kwajili yangu, katika kipindi cha mahusiano alipata nafasi ofisini ya kwenda kusoma nje na mawasiliano yetu yalikuwa ni mazuri ilikuwa kila siku lazima anitafute alijitahidi kuniweka karibu nae na kila siku ilikuwa neno lake nitulie akirudi atanioa kwakweli katika hali ya kibinadamu ilihitaji moyo sana lakini nilimshirikisha Mungu kwa kila hatua ili nisiingiwe na tamaa, japo ndugu zangu wengi waliniambia nikipata mtu mwenye nia ya kunioa nisikatae maana hawana uhakika nae lakini nilijitahidi kutowasikiliza.

Badae mawasiliano yalianza kupungua nina weza kumtafuta akawa yupo online anapata SMS lakini hajibu anaweza kujibu SMS badaa ya mwezi ukimuuliza anasema masomo magumu mama, mara naachaga data wazi, nilikuwa naumia sana ila nika note kitu, akapata likizo akarudi wakati namfuata airport nilipomuona nilihisi kabadilika sana, nikajipa moyo labda kutokana na mazingira aliyokutana nayo, likizo ilipoisha aliondoka nikasema ngoja nipime imani yake nikamtumia text kuwa nina mimba sikutegemea, alikuwa mkali chui akani please nitoe mimba sababu siwezi kulea ikiwa baba yake yupo mbali akaniambia usipotoa nakuacha.

Kwakweli niliumia sana nikawaza je ingekuwa ni kweli nina mimba ningekuwa na hali gani, nilichomjibu nikamwambia sawa nitafanya abortion ila usinitafute, badaa ya kama miezi kadhaa alirudi akanitafuta na kuni please turudiane nilikataa nikaamua kuacha nitulize akili na mpaka leo kwenye akili yake anajua nilikuwa na mimba kumbe haikuwa hivyo, katika hali ya kibinadamu nilikaa single karibu mwaka nikapata mvulana huyu amenipita miaka 4 na yeye ni msukuma wa Shinyanga na ni mfanyakazi wa serikalini nilijiona ni mwenye bahati na kikubwa niliona familia yao ni watu wenye hofu na Mungu.

Tulipendana sana na alinijali sana, lakini mwaka huu mwezi wa 4 ndo ilikuwa mwisho wa mahusiano yetu baada ya kunipeleka kwao kunitambulisha ili mwezi wa saba tufunge ndoa, baada ya utambulisho mimi nilirudi Dar sababu mwenzangu kwao ni Dodoma, nilipoondoka kumbe huku nyuma kulikuwa na mtafaruku kati yake na wazazi na kanisa, ni kwamba walikuwa hawataki kijana wao aoe mwanamke anayetoka nje ya kanisa la kilokole, hivyo alianza kubadilika mwenzangu akawa ananiambia ndoa tuhairishe hadi nimalize kujenga nyumba, bla bla zilikuwa nyingi ila nilijua kuna sababu kubwa hataki kuniambia, mwisho wa siku ilibidi aniweke wazi niliumia sana na sikuwaza hata siku moja kama wakristo tuna weza kubaguana kiasi hiki.

Tangu hapo nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi, maumivu makali kuna wakati huwa naweza jifungia ndani nalia sana, na pia nimekuwa mtu mwenye hasira kila wakati japo najitahidi ku control hasira, kingine nimekuwa sitamanani mwanaume yoyote yule yani naweza nikaanza mawasiliano na mtu baada ya wiki nampotezea, kubwa nimekuwa na hofu na hawa watu na kikubwa roho ya kupendwa na waume za watu inaniandama na mimi sitaki kabisa kuja kufanya chukizo kwa Mungu ku date na mume wa mtu, wamekuwa wananisumbua sana yani mtu yupo radhi anipe kila ninachokitaka ili mradi anipate, dunia sahivi ina maradhi mengi na mimi sipo tayari nizikwe kwa tamaa, pia nimekuwa muoga na kabila la wasukuma maana ndo nina bahati nao mbaya.

Je nifanye nini ili hii hali isiwepo tena kwenye maisha yangu maana nimechoka kucheza harusi za wenzangu, na mimi natamani siku moja waje wacheze yangu, japo huko kwetu bibi zangu wanasemaga kuna mizimu ya babu zetu inatuandama ndo maana wajukuu tunakuwa hatufanikiwi kwenye malengo tunatakiwa tukafanyiwe matambiko, japo mimi binafsi siamini katika hilo maana namtegemea Mungu.

Naombeni ushauri wenu katika hili, nisameheni kama nitawachosha kwa thread ndefu.

Note: Matusi sitaki.
Pole sana Mungu ni mwema atakusaidia!!! Jambo la kwanza machozi yako yasiende bure mlilie Mungu akuondolee uchungu moyoni mwako na ww ni mkristo wasamehe hao wanaume wooote km Yesu alivyosema tusamee saba mara sabini!!! Badaa ya hapo utapata amani hapo unaweza kuomba na Mungu atasikia maombi yako, Yesu alisema wazi tumtwishe fadhaa zetu!!!! Na tukiomba kwa imani tunapokea!!!! YESU AKUTIE NGUVU AKUONDOLEE UCHUNGU UPATE KUONA MUME WAKO
 
Acha hasira majibu yako tu yanaonesha ulivo na maruani unapenda lig sio kidogo muone mchawi wewe :( yaan hawa wanaume hum uliowajib hovyo kama ndio unajib washika dau ivo utaishia mikato na manyoya kwanini hutulii binam unantia aibu hujui tu
 
Pole sana. Jaribu kupunguza msimamo yako. Usiwe very strict kwenye principles zako. Kubali udhaifu wa mwanaume unaempata na jaribu kumwelewa. Usimchunguze sana as hakuna alie perfect. Kila mtu ana kasoro. Usipende ku give up. Fight for your love. Onyesha wazi kuwa una qualities ambazo sio rahis mtu kuzipata kwa mwanamke mwingine. Usiogope kuonyesha ubora wako kwa mpenz wako. Usipo muonyeshe ww kuna wanawake wenzako wanapambana kumtoa kwako na utakuwa looser. Mfanye mwanaume isiwe rahis kwake Kukuacha. Kwa ujumla pambana kumlinda mpenzi wako. Usikubali apotee kiurahis tu.
 
Asante san
 
Acha hasira majibu yako tu yanaonesha ulivo na maruani unapenda lig sio kidogo muone mchawi wewe :( yaan hawa wanaume hum uliowajib hovyo kama ndio unajib washika dau ivo utaishia mikato na manyoya kwanini hutulii binam unantia aibu hujui tu
Huo undugu mim na ww tumeanza lini,acha uswahili ww nimeshawachok wenye majibu ya shombo km uwezi kunishauri pita kushoto,mchawi ww unayevaa tunguli na kuroga mchana,kafie mbele,nimekuw mvumilivu san kwa wanaonishauru vibaya so nimechok km binadamu
 
Acha hasira majibu yako tu yanaonesha ulivo na maruani unapenda lig sio kidogo muone mchawi wewe :( yaan hawa wanaume hum uliowajib hovyo kama ndio unajib washika dau ivo utaishia mikato na manyoya kwanini hutulii binam unantia aibu hujui tu
Kwani mtu huwez kumshaur hd uwongee shombo zako,eti kwa sababu nimeomba ushaur kwa hiyo ht km unanitukan nikuangalie tu,we vp ww acha tabia za kiswahili,mijitu mingine sijui ikoje,hiyo.aibu yako yangu au mimi na ww tuna share papuchi?au huwa unaisaidia kila mwisho wa mwezi,
 
Pole sana Mungu ni mwema atakusaidia!!! Jambo la kwanza machozi yako yasiende bure mlilie Mungu akuondolee uchungu moyoni mwako na ww ni mkristo wasamehe hao wanaume wooote km Yesu alivyosema tusamee saba mara sabini!!! Badaa ya hapo utapata amani hapo unaweza kuomba na Mungu atasikia maombi yako, Yesu alisema wazi tumtwishe fadhaa zetu!!!! Na tukiomba kwa imani tunapokea!!!! YESU AKUTIE NGUVU AKUONDOLEE UCHUNGU UPATE KUONA MUME WAKO
Amen asante sana
 
Nenda strait kwenye point. We unataka ndoa iweje zaidi ya miaka 4 unachezewa? wakija ndoa kwanza story zingine bidae kama anania hiyo utamjua kama hana pia utamsoma
 
Nenda strait kwenye point. We unataka ndoa iweje zaidi ya miaka 4 unachezewa? wakija ndoa kwanza k story zingine bidae kama anania hiyo utaa
 
Unaonekana unaingia kwenye mahusiano kwa nia Ya kuja kuolewa hivyo inakufanya uwe desparate sana. Wanaume huogopa wanawake desparate au ving'ang'anizi

Hii ni tabia ya wanaume wengi wanapenda wao ndiyo wa dictate terms and not other wise. Wewe unaonusha unapenda waende kwa matakwa yako. Hii ndio sababu kubwa wana kukwepa.
Ushauri wangu ni iingia kwenye mahusiano kwa nia ya kuwa na mwenza halafu acha mambo mengine yachukue mkondo wake. Usilazimishe jambo litokee unavyotaka wewe.
Ndoa zote zilizo kuwa forced zina watesa wahusika vibaya mno.
 
Pole kwa unayopitia, maisha yamejaa changamoto.
Hupaswi kujilaumu kwa yaliyotokea, ila inakupasa kuwa makini kidogo unapoanzisha mahusiano na mtu. Tulia na kwa wakati muafaka utapata mume anayekufaa.
You are in my prayers.
 
Pole sana dada, amin uliopita nao si mapenz ya mungu amin yupo ambaye mungu amekuandalia WA kufanana nae so usiumize kichwa ukajiona hufai wala we ni WA thaman haijalishi una mvuto au hauna wako yupo atakuja pale usipozan kwa sasa mshukuru mungu kwa yote aliyokuepusha, usiona mungu amenyamaza anajua uvumilivu wako anajua kujitunza kwako kamwe hawez kutupa
 
Back
Top Bottom