Mama Confidence
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 172
- 144
Wwe ndo umemshauri point huyuuuuNa kushauri tena, temana na watu wa sampuli hiyo, utapasua key board bure au kujikuta simu unaiona jiwe umarusha. Chukua lililo jema humu, hayo mengine ukijaribu tu kuyabeba, husitegemee kutoka na kitu humu.
Na hamna kitu kizur km kuchukulia kila kitu easy....ndo km hao wachukulie poa tu watukane ww sawa then furaha yako itakuja kwanza