Ushauri: Nifanyeje niweze ku-save pesa

Maelezo hayajitoshelezi. Unatumia sana kwenye nini?

Maana tunaweza kukushauri kumbe unalipa kodi, ada, chakula, etc ambayo ni matumizi sahihi.

Ila ungeacha tabia hatarishi mfano: kulewa, kubeti, kuonga (mbadala wake nenda kwa wanaojiuza malizana nao sio kila kitu tukufundishe), kununua vitu usivovihitaji, kushindana na fasheni mfn simu nguo..
 
Sema kwa mwezi unapata kiasi gani? Unatumiaje ? Una contant mapato au madeal ?
 
Achana na marafiki kwanza
Halafu kama ni mlevi acha
Ila piga hesabu zako kwa mwezi unatumia shiling ngapi kwa starehe za kijinga au anasa na wapambe nuksi?
Fegi je?
Kama utaweka malengo ya kufanya kitu kwa mfano cha 40m basi hakikisha unafikia hapo kwa miaka kadhaa uliyopanga
Inaonekana una uadui na hela hutaki kabisa kuziona
Mimi lazima niweke akiba isiyopungua 3m kwa mwezi
Pia inaweza kuwa zaidi inategemea na income ya mwezi husika
Hela zikiwa nyingi zinapendana kama mifugo vile ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†
 
Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
ukibadilisha life style yako ya maisha lazima utaweza kusevu.
kusevu kunahitaji kuijibana kisawasawa kwenye matumizi,
Nakupa code za kusevu pesa:

1. Usinunue maji dukani, kunywa kandoro
2. Usinywe bia au wine, kunywa mbege ulanzi au gongo
3. Usimruhusu mtu achaji simu kwako, atamaliza umeme
4.Inaponyesha mvua sambaza ndoo na masufuria mpaka kwa majirani uweze kusave bili ya maji
5. ukiamka jiweke bize na pirika pirika ili usahau kunywa chai
6. usipande gari masafa chini ya kilomita 10
7. Dagaa nayo ni mboga
8. Hakikisha unachana gamba la dawa ya msuwaki kukomba uliyobakia kabla ya kutupa
9. umeme ukizimwa wahi kitandani ulale, usiwashe tochi utamaliza chaji.
10. chumvi inaweza kutumika kama mboga kusukumia ugali

Mwisho. ukifata hizo code kikamilifu lazima uwe tajiri
 
Formula ngumu lakini ndo ukweli wenyewe kwa anayesaka utajiri
 
Sasa akitoa vyote hivi si hela itaisha?

#YNWA
Kuna siri kubwa katika kutoa zaka mkuu, matajiri wote wanajua siri hii. Mimi nilikuwa sitoi zaka nikidhani eti fedha itaisha ila baada ya kupitia changamoto nimejaribu formulae hii.

It pays a lot mkuu, utajiri ni siri na moja siri ya utajiri ambayo husikii motivation speakers au matajiri wenyewe wakisema ni hii ya Utoaji hasa zaka.
 
1. Ndio nitoe......
Zaka
Fungu la 10
Sadaka
Adonai
N. K

Bado tu hela inabaki?

2. Halafu tena,
Kwanini nitoe kwa kuwapa wachungaji na sio yatima, wajane na wasiojiweza?

Huyo mchungaji kama mshahara hautoshi, si alime kama mimi?

Back
Top Bottom