Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,554
- 45,853
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.
Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.
Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.
Utani na matusi tuweke pembeni!