gobstov
Member
- Feb 3, 2017
- 29
- 23
Mara nyingi huwa nikikerwa nakaa kimya, yaani yaweza fika hata miaka miwili bado jambo ninalo moyoni, lakini siku nikitibuliwa na mtu huyohuyo huwa nachanganya hasira zote.
Nilishauliwa nisikae na jambo moyoni maana yaweza zua madhara makubwa zaidi. LAKINI nilipobadilika nikawa nikikerwa huwa namfata mtu namwambia "ndugu umenikosea" pia ikawa tatizo kwa wakubwa zangu.NILIAMBIWA ADABU IPO LIKIZO.
Naomba nisaidieni wana JF kama kuna njia nyingine ya kutatua tatizo.