Ushauri Ndugu Zangu!

Mtumie na salama ili awe na adabu nawewe
 
Dr si umesoma Public Health, pitia rules za public health na infection control. Hamuwezi kujua huko aliko anaambukiza wangapi. Angekuwa hafahamu sawa lakini anajijua ni mgonjwa na hataki kutibiwa.
 
Ww jamaa ni lofa kabisa. Ww sema tuu huyo mteja ulimtamani sio kwamba yeye ndo anakutega.


Huo hapo juu ni ushahidi wa wazi kabisa kwamba unadanganya. Mteja akishapimwa na akakutwa anao basi cha kwanza huwa ni kuchukua details zake ikiwamo na mawasiliano yake.

Sasa huwez kusema eti siku moja ukiwa unakagua mafaili ukakuta namba yake. It means hiyo namba uliikuta coincidentaly kitu ambacho sio kweli.

Kwenye vitengo vya CTC huwa kuna simu za vitengo ilikuwaje ww utumie namba yako? Hiyo inaonesha ulimtamani from the start.

Umekuja hapa kutafuta public sympathy tuu. Unataka public blessing za kwenda kumla huyo binti tuu.

Inshort ww sio MD bali ni either MO,AMO ama PARAMEDIC tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…