Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 155
Umepanic mkuu...ata akipima DNA, ata ukimfunga ukweli utabaki palepale kama ni mtoto wake atabaki hivyo...ni mambo ya familia inabidi muyamalize kwa maongezi tu
amekataa kuhojiwa anasema atapambana na yeyote atakaye mfuatafuata haogopi
Mambo mengine yanahiji hekima na busara zaidi!
Kwahilo swala mkuu hapo juu katoa hoja ya msingi. Ebu tulia na lifikilie marambili hilo.
hayo mambo huwa yanauma sana imagine angepewa mdogo wako au mwanao ungemuachia?
Huu ushauri nao mzuri. Yaani hawa wachungaji wasiojitambua ni taabu tupu kukicha unasikia mara askofu ana kesi ya kuzaa na mke wa mtu mara nini wapuuzi sana hawa.mie nafkir huyo mchungaj ana wakubwa wake wa kaz kama mnaona swala la mahakama ni gumu sana mpelekn ngaz za juu za viongz wake wa dini wakalitatue
Yaani mimi huwa napenda hii picha ya mtoto Evelyn Salt, nikikaangalia nakapenda kweli hahahahahaha out of topicNdo maana maisha yanazidi kuwa magumu...
Huu ushauri nao mzuri. Yaani hawa wachungaji wasiojitambua ni taabu tupu kukicha unasikia mara askofu ana kesi ya kuzaa na mke wa mtu mara nini wapuuzi sana hawa.
Yaani mimi huwa napenda hii picha ya mtoto Evelyn Salt, nikikaangalia nakapenda kweli hahahahahaha out of topic
Sasa huo mfano gani unanipigia mimi?
Its okay kwake kutoa mfano km huo. Sometimes ukivaa viatu vya mwenzio utahisi maumivu yake.
Aisee badi niko bwaxx mbaya.
Wewe je?
mie nafkir huyo mchungaj ana wakubwa wake wa kaz kama mnaona swala la mahakama ni gumu sana mpelekn ngaz za juu za viongz wake wa dini wakalitatue