corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,663
- 3,397
Kuna uwezekano by 50% kuwa jamaa anakula fadhila kwa misaada inayotoka esp. kama shemeji anaonekana kuwa na sifa ambazo dada yake hana 😂😂😂Huyo jamaa hamtafuni kweli huyo mwanamke?
Mkuu Okimangi binadamu tunajifunza kutokana na makosa pamoja na mitihani wanayoipitia wengine, so Kama haijakukuta shukuru na omba Mungu akusaidie,Mkuu kwa maelezo niliyopata hapa inanifanya niwaze kuwa yule mdogo mtu au shemejii kuna namna akiwa na bwana mzee anamtegagaa na anakatabia kamahaba yaliyozidi ujazo wa pezi kwa belo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji847][emoji847][emoji847] kwa hiyo shem kamzid cheo mkubwa ake, na jamaa kawewukaa na mtoto mubichi. Kwishineyi hapo sasa nani anatoa gharama nyingine kama mtoto ana watoto 3??
na kazi haikidhii mahitaji, na kuna thread inaonyesha mke ana watch porn na dogo wake, jamaa yuko bize na mtoto mubichi, ashasahau dada mtu yuko na mdogo wake anamla fresh.
Dada mtu anamjua mdogo ake ni miguu pande so akawii kupata wivu na hasira kwa mume. Ila mume fala sana unatoaje kodi hadi dada ajue unakula.
Huu umbea bhana utazani tunalipwaa[emoji847][emoji28]
Rejea mwanzo wa thread.Na huyo rafiki yako ni wewe mkuu!!
Mkuu Ukwaju binadamu tunajifunza kutokana na makosa pamoja na mitihani wanayoipitia wengine, so Kama haijakukuja shukuru na omba Mungu akusaidie,Kapyepye Mfyambuzi leo umetuweza yaani hatujamaliza hapa umetuangushia lingine huku!!!!
![]()
Mtu na shemeji yake wanapoangalia Filamu ya Ngono...
Kwema Wakuu? Jamaa yangu amenipigia simu anasema amechanganyikiwa na haamini macho yake juu ya aliyoyakuta home kwake na hajui afanyeje. Anasema alikuwa anarudi home kutoka job amemkuta mkewe na dogo, Yaani mdogo wake wa toka nitoke akiwa sebuleni wanaangalia Mkanda wa X. Anasema alipofika...www.jamiiforums.com
Naomba usinukuu vibaya sijawa na mtazamo mbaya, au kisa nimesema jamaa fala sana, ni hivi nimekupa muongozo namna ilivo hata sisi tuna dozi zetu tunapewa.Mkuu Okimangi binadamu tunajifunza kutokana na makosa pamoja na mitihani wanayoipitia wengine, so Kama haijakukuta shukuru na omba Mungu akusaidie,
Hata wao wanao yapitia haya ni binadamu Kama wewe, Wana akili timamu Kama wewe na hawakutegemea haya kuwatokea.
Omba rehema kwa Mungu aendelee kukusaidia
Mwisho Asante kwa mtazamo wako
sasa huko uendako ndiko unakoenda ku-panic maana unaanza kutulaani wachangiajiMkuu Ukwaju binadamu tunajifunza kutokana na makosa pamoja na mitihani wanayoipitia wengine, so Kama haijakukuja shukuru na omba Mungu akusaidie,
Hata wao wanao yapitia haya ni binadamu Kama wewe, Wana akili timamu Kama wewe na hawakutegemea haya kuwatokea.
Omba rehema kwa Mungu aendelee kukusaidia
Mkuu Ukwaju Kwanza kabisa sija-panic, usininukuu vibaya. Pili ningekua ni Mimi nifiche ili iweje, kwani naonekana sura humu?, hata kwa mfano ndo niseme ni Mimi ndo mke wangu, unamjua? Mwisho tunaleta maswala yetu humu juu ya maswaibu yaliyowakuta ndugu zetu ili ku-shea na wengine experience ya mawazo na mitazamo tofauti ambayo tunaweza tukajua ninamna gani ya kusolve changamoto zilizotokea kwenye familia zetu. Lakini tambua kuwa humu tuna wasomi, madaktari, wanasaikolojia, maprofesa, ma-IQ na wataalamu mbalimbali japo kwenye msafara wa Mamba na kenge wamo ambao wao kazi yao ni kubeza kila jambo na kusema kuwa ni uongo ila siku akimfumania mkewe ndio atajuwa kua kumbe kweli haya mambo yaposasa huko uendako ndiko unakoenda ku-panic maana unaanza kutulaani wachangiaji
km sio wewe unaemlipia huyo shemeji yako mwenye watoto wa3 basi weka namba zake tuanze mchangia kodi ya chumba, nitatembeza bakuli kila mwezi
ukitunga story ya uongo au inamgusa mtu usisahau kujitoa, maana hapa umeingia mazima, maana unasisitiza niombe rehema za Mungu niwe nalipia michepuko kodi za nyumba (wakati ni majibu ya Okimangi umecopy & Paste)
Hayo yote we umeyajuaje?Hapana mkuu, jamaa ni mtu na heshima zake tu, anajiheshimu Sana na anampenda Sana tu mkewe. Hata chumba cha shemeji yake huwa hana mazowea ya kuingia.
Hata shemeji yake huwa anakuwa Kama anakauoga hivi kwa huyo mume wa dada yake.
Ukiona mke amekasirika hivyo ujue hajawahi kupewa hata laki moja na huyo mmewe ila anashangaa anatoa laki 6 kwa mwingine. Ukitaka usalama na mkeo mpe laki 6 mwambie kafanye shopping yako halafu hii laki 6 nyingine namlipia ndugu yako chumba. Hapo hakutakuwa na ugomvi lakini unaacha mke anajinunulia mahitaji yake yote mwenyewe halafu wewe uko nje unatoa pesa kama Dangote hapo kazima unatafuta vita ya 3 ya dunia.Wanawake zetu buana ,sasa mtu amemsaidia yeye anakasirika ,hivi hawa wake zetu hawajui kadri unavyosaidia wasiojiweza ndio baraka zinakuja nyingi?
Mimi ni best friend wake, muda mwingi nakuwa nae, hanifichagi kituHayo yote we umeyajuaje?
Mkuu umeona mbali sana.Ampe mkewe kiasi cha fedha sawasawa na kodi ya nyumba ya miezi minane aliyomlipia shemeji yake.
Afanye hivi Halafu leta mrejesho hapa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Itakuwa kweli haaminiki usikute kila mtoto ana baba yake hapo,ukijaribu tu umebeba mzigohapo kuku keshaliwa, km unabisha kaangalie manyoya km hutakuta
hivi chumba anachokilipia amkute jamaa km mimi nimejipumzisha chumbani kitandani /mkeka hatatubutua.
Mke ana haki kabisa anajua huyo mdogo wake maharage ya mbea, watoto wa3 hana muelekeo hata wa mama ntilie?
Hapana mkuu kama unajua kuchekecha mambo utagundua hapo kuna jambo limejificha nyuma ya pazia halijasemwa.Dunia imekuwa ya ajabu Sana ndugu yako anasaidiwa na mume wako mke anaksirika anataka kuvunja ndoa.? Hivi wanawake KWA nn hawapendani kiasi hiki?? Lakin kwenye shughuli wanajifanya ndugu wanavaa sare