Umemaliza mzee.. uzi ufungweMambo ya msingi ni haya hapa mkuu, japo na mimi ni beginner bado.
1-Nia (Hii ndio kila kitu).
1.5-Muda (Inahitaji muda sana)
2-Ng'eng'e hapo kama hujui acha kabisa.
3-Uvumilivu (Hapa lazima uwe na moyo na usikubali kukata tamaa, kuna siku unacode ila hamna kinachokubali).
4-Bando (Hapa lazima ukaze kweli kweli, tutorial za coding nyingi sana youtube, ila ni za maGB na kudownload tools mbali mbali.)
5-Machine.(Hapo PC haikwepeki.)
NB: Coding lazima uwe na uelekeo ni kama bahari lazima ujue unaenda wapi.
safari njema mkuu, see you at the top, miamba wataongezea mengine.
Mkuu Asante unaweza kunipa sifa za pc itakayo faa kwa kutanyia jambo hili.?Mambo ya msingi ni haya hapa mkuu, japo na mimi ni beginner bado.
1-Nia (Hii ndio kila kitu).
1.5-Muda (Inahitaji muda sana)
2-Ng'eng'e hapo kama hujui acha kabisa.
3-Uvumilivu (Hapa lazima uwe na moyo na usikubali kukata tamaa, kuna siku unacode ila hamna kinachokubali).
4-Bando (Hapa lazima ukaze kweli kweli, tutorial za coding nyingi sana youtube, ila ni za maGB na kudownload tools mbali mbali.)
5-Machine.(Hapo PC haikwepeki.)
NB: Coding lazima uwe na uelekeo ni kama bahari lazima ujue unaenda wapi.
safari njema mkuu, see you at the top, miamba wataongezea mengine.
Mkuu umesema huna knowledge yoyote kuhusu computerWakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,
Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer.
Natamani sana nijue maswala ya code wakuu, nifanye nini niweze kujua .?
Mimi nipo kanda ya ziwa huku
Je!Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,
Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer.
Natamani sana nijue maswala ya code wakuu, nifanye nini niweze kujua .?
Mimi nipo kanda ya ziwa huku
Pc yoyote tu mkuu itafaa, kwa project za kawaida hizi huna haja ya PC za kibabe, ukitaka ku upgrade ni mbele huko, we anza na yoyote, RAM jitahidi walau iwe 4GB hilo ndo la msingi tu.Mkuu Asante unaweza kunipa sifa za pc itakayo faa kwa kutanyia jambo hili.?
Mkuu nataka ni specialize kwenyeCoding za aina gani unaona una uelekeo nao zaidi? Hili swali ni la lazima kujiuliza kwa sababu kama sivyo utakuwa ukizunguka zunguka ukigusa hiki na kuacha, utashika language hii utaacha, utashika nyingine utaacha. Inabidi kujua unataka kucode ili uwe unatengeneza nini?
Profession za code zipo nyingi:
Lakini pia field ya I.T ni pana zaidi ya coding, unaweza ukawa umeona coding lakini kuna professional zaidi ya coding,
- Website frontend
- Website backend
- Embedded systems
- Artificial intelligence
- Mobile development
Unaweza pia kucheki hizi kama zitakufaa:
- System administration
- Computer security
- Network administrator
- System analyst
- Database administrator
Mkuu nataka ni specialize kwenye
* Website fronted
*Website backed
* Mobile development
Hizo tu.
Nianzie wapi mkuu na lugha gani itabufaa zaidi.?
AiseeCoding za aina gani unaona una uelekeo nao zaidi? Hili swali ni la lazima kujiuliza kwa sababu kama sivyo utakuwa ukizunguka zunguka ukigusa hiki na kuacha, utashika language hii utaacha, utashika nyingine utaacha. Inabidi kujua unataka kucode ili uwe unatengeneza nini?
Profession za code zipo nyingi:
Lakini pia field ya I.T ni pana zaidi ya coding, unaweza ukawa umeona coding lakini kuna professional zaidi ya coding,
- Website frontend
- Website backend
- Embedded systems
- Artificial intelligence
- Mobile development
Unaweza pia kucheki hizi kama zitakufaa:
- System administration
- Computer security
- Network administrator
- System analyst
- Database administrator
Inabidi uanze from scratch.Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,