Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,055
- 32,708
Kuwachukia na kuwatamani NI kuwabeba moyoni watu unajichelewesha na unadhurumu amani yako na kujipa uchungu tu
Ni kuuchuna tu ndugu hakuna sikuhizYani ww ni kama mim sema tofauti ni ndogo me nlikuepo kweny msiba wa baba angu ....Lakin baada ya hapo nkashindwa kwenda chuo kwa sababu Mali zote walibeba wao..... Yani sidhani kama ntaweza kuwapenda hua namuomba Mungu msahama kwa hilo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Me nishahamua hivo naogopa mno kufa ningali mdogo kosa mambo ya maliNi kuuchuna tu ndugu hakuna sikuhiz
Dah mm sio mzeeUnacho tafutwa ni kuuzwa na wewe yaishe. Zimwi likujualo halikuli ukakwisha .
Mzee achana nao hao watu sio wazuri kwako kabisa walikua tayari ufe Mungu kwa bahati nzuri kakupigania umepona bado inaendelea kuwafata Tena ....?
Unacho kitafuta watakupatia soon