Ushauri: Nawezaje kuishi nao vizuri?

Ushauri: Nawezaje kuishi nao vizuri?

Tupac katika DEAR MAMA alimfanyia hv Mshua wake.... na wewe wafanyie hv

Now, ain't nobody tell us it was fair
No love from my daddy, 'cause the coward wasn't there
He passed away and I didn't cry, 'cause my anger
Wouldn't let me feel for a stranger
They say I'm wrong and I'm heartless, but all along
I was lookin' for a father, he was gone
 
ni kweli binadamu huwa hawana shukrani na malipo yao mara zote huwa ni mabaya tu, ila hata akiwatendea ubaya atafaidika na nini au akiwashtaki kwa mtazamamo wangu akiamua kuawaacha ni sawa ila asiwatendee mabaya kama waliyomtendea
Hakuna haja ya kuwashtaki ama kuwatendea ubaya, ni kuwachukulia kawaida tu
 
Baba alishasemaga vitu vyangu ni Kwaajili ya wanangu tu,,

hivyo Nikita wagombanie makobazi na nguo tu.

Tatizo la binadamu ni wabishi wakalianzisha varangati nyumba lazima iuzwe,watoto waje kuishi kijijini mama yao atajua mwenyewe

Hivi jamani watu wanachukuwa maamuzi ya kuuza mali za marehemu,wanajua marehemu kapambana vipi???

Na ndomaana nawajua upande wa mama kuliko wa baba
 
Wasamehe....
 
Aisee nikikumbuka ni siku ya arobaini hiyo ndugu wamechachamaa nyumba inaenda kuuzwa,aisee nikikumbuka mama alivyokuwa analia inauma sana
 
Tupac katika DEAR MAMA alimfanyia hv Mshua wake.... na wewe wafanyie hv

Now, ain't nobody tell us it was fair
No love from my daddy, 'cause the coward wasn't there
He passed away and I didn't cry, 'cause my anger
Wouldn't let me feel for a stranger
They say I'm wrong and I'm heartless, but all along
I was lookin' for a father, he was gone
Demi najua umekumbuka mbali....
 
Moyo wako unajua unataka nini, na upo tayari kulipa hizo gharama na hapa unatafuta kuungwa mkono tu.

Ukisema uwachunie utateseka zaidi zaidi nafsini mwako, hivyo ni bora usamehe na uwakaribishe kwa sababu ndiyo amani ya moyo ambayo umekuwa ukiitafuta kwa muda.

Kila mmoja wetu hukosea, ulikosewa nawe kuna unaowakosea…. haya maisha tu.

Ukitaka kuolewa, niko hapa NIMEWAHI.
 
nimetokea kukupenda tu kwa kweli.. una kitu cha tofauti.. hakika waliotaka kumuua yusufu ndio waliomtengenezea njia ya kuwa mkuu wa nchi.... una moyo wa msamaha
Asante sana
 
Haya maisha huwa yanavingi vizuri na vibaya vya kujifunza

Ni vyema ukaishi nao kwa upendo Ila usiwaamini

Binadamu ni kiumbe hatari sana

Kama wahawakuona thamani ya maisha yako ya kipindi hicho na ni watu wazima wanazijua shida za hii dunia Kama mtu

Hana Cha kumuwezesha baasi mioyo yao itakuwa bado inakuwinda
Ishi nao wale wakubwa kwa amani Ila usiwaamini
Ila mpende kila mmoja ambae alizaliwa baada ya tukio hapa utajisikia vizuri tu moyoni kuwa ni ndugu zangu
Shukrani sana
 
Sometimes the hardest thing to do is to forgive.

But it is the only way to set your soul free.
 
Baba alishasemaga vitu vyangu ni Kwaajili ya wanangu tu,,

hivyo Nikita wagombanie makobazi na nguo tu.

Tatizo la binadamu ni wabishi wakalianzisha varangati nyumba lazima iuzwe,watoto waje kuishi kijijini mama yao atajua mwenyewe

Hivi jamani watu wanachukuwa maamuzi ya kuuza mali za marehemu,wanajua marehemu kapambana vipi???

Na ndomaana nawajua upande wa mama kuliko wa baba
Aisee kma mm yani dah maisha haya pole sana
 
Baba alishasemaga vitu vyangu ni Kwaajili ya wanangu tu,,

hivyo Nikita wagombanie makobazi na nguo tu.

Tatizo la binadamu ni wabishi wakalianzisha varangati nyumba lazima iuzwe,watoto waje kuishi kijijini mama yao atajua mwenyewe

Hivi jamani watu wanachukuwa maamuzi ya kuuza mali za marehemu,wanajua marehemu kapambana vipi???

Na ndomaana nawajua upande wa mama kuliko wa baba
Pole sana mkuu..

Ndo maana wengine tushasahau kama tuna baba and tunatafuta mali zetu wenyewe.

Ndugu wa mwanume mostly ni kisanga...Achana na hao watu aise
 
Yani ww ni kama mim sema tofauti ni ndogo me nlikuepo kweny msiba wa baba angu ....Lakin baada ya hapo nkashindwa kwenda chuo kwa sababu Mali zote walibeba wao..... Yani sidhani kama ntaweza kuwapenda hua namuomba Mungu msahama kwa hilo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Source YouTube: Unlock full potential of your mind by Dr.Joe Dispenza itakusaidia🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom