Ni changamoto aisee mungu atupe ujasiriYani ww ni kama mim sema tofauti ni ndogo me nlikuepo kweny msiba wa baba angu ....Lakin baada ya hapo nkashindwa kwenda chuo kwa sababu Mali zote walibeba wao..... Yani sidhani kama ntaweza kuwapenda hua namuomba Mungu msahama kwa hilo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
AminaNi changamoto aisee mungu atupe ujasiri
ni kweli binadamu huwa hawana shukrani na malipo yao mara zote huwa ni mabaya tu, ila hata akiwatendea ubaya atafaidika na nini au akiwashtaki kwa mtazamamo wangu akiamua kuawaacha ni sawa ila asiwatendee mabaya kama waliyomtendeaAcha kujipendekeza wewe, binadamu hatuna shukran utawasaidia na kuwapenda lkn wanaweza kuja kukupiga tukio ukajuta. Ila maamuzi ni yako