Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,568
- 45,897
niwape wote kivipi? kwani wanataka wangapi?wape wote tu
umeelewa kweli ? hyu mzee sio mpenzi wanguTulia na mzee wako wewe sisi vijana hatuna maana
leo mwisho kweliUishiwi visa kila siku vyako tu.
Bado ni secretary?
Bro sio wewe kweli unaetaka kutuongezea shemeji...wape wote tu
Naama tulia nae najua hatembei nawewe tulia nae utakuja kupoteza bahatiumeelewa kweli ? hyu mzee sio mpenzi wangu
kuhusu namba moja sijui yeye mwenyewe kama ataweza ila nafanya kazi1. Mpenzi wako umemfahamisha yote haya unayotueleza na yuko tayari kushirikiana majukumu kama donna funds zikistop?
2. Utaendelea kumtegemea mzee mpaka lini? Hatuombei lakini Mungu akimchukua una chako tena kwenye biashara zaidi ya mke na watoto?
3. Umeshawahi kuwaza kuwa na wewe unahitaji mume na watoto na mzee anaweza kukupatia vyote hivyo?
kazi sitakosa ila madikodiko yatakuwepo kweli?Hakuna anaekupa vya bure bila kutegemea kitu kutoka kwako hata akuchukulie vipi. Kama kweli mwema na hataki kitu kwako basi angelisaidia jamaa zake wote kwanza kabla ya kukupa wewe huo msaada. Eti halafu ukakae kwake mmhh reallyUkimtambulisha huyo mpenzi wako utakosa vya bure na kazi itayeyuka pia.
Hilo namba moja angalia jamaa ana mpango gani na wewe, si ajabu umeanza kujenga castle kichwani na ndani ina wafanya kazi, watoto na wewe ni mke na pete kidoleni kumbe mwenzako huko hajafika.kuhusu namba moja sijui yeye mwenyewe kama ataweza ila nafanya kazi
namba 2 na tatu nawaza sana ndo maana naitaji ushauri
Madikodiko utayasikia tu labda utayapata kwa mamalishe.kazi sitakosa ila madikodiko yatakuwepo kweli?
Mwenyew unaonajeNilipata mpenzi huku mkaka moja mzuri tu mwana JF, anaonekana ni mtu mwema japo ana mambo yake flani ila nimempa tu muda hata mimi najijua nina madhaifu yangu. Nina boss wangu, yule mzee ananipenda sana kama binti yake anajua sina mwanaume yoyote ananichukulia kama binti mwenye heshima tu na maskini kwaiyo ananilipia kodi, pocket money za hapa na pale.Tena anataka nikakae kwake inshort napata full sponsorship hapa mjini.
Sasa natamani nimtambulishe huyu mpenzi wangu ili asiwe ananichukulia kirahisi kivile ila naona kama udhamini utakoma. Hajawahi kunitaka kimapenzi na najua anajiheshimu sana wala hatokaa anitake ila nataka kuwa huru na maisha yangu.
Kwa situation hii nifanyeje wadau?