Msaada wakuu,
Bongo kwangu tafrani,
Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.
Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.
Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.
Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.
Kaka nakushauri soma upate degree yako umri unao halafu apply kama expert hizo nchi za wazunguMsaada wakuu,
Bongo kwangu tafrani,
Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.
Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.
Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.
Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.
Mafanikio kwangu mie niweze kujikomboa katika hali ninayoishi nayo sasa,maana sijaridhika nayo.I want to have a better and advance life.Kaka ninavyofahamu Ulaya si lelemama kama huku na kwa uhakika wa maisha at least uwe na Bachelor unless unaenda kusubiri Zari la mentari labda kabla sijaendelea kukushauri unisaidie kufafanua "Mafanikio unayoyataka wewe ni yapi"?halafu ndio ushauri makini ufuate.
Ukipata project kubwa utaeza kuifanya?Nimebase sana katika Masuala ya Networking na maintenance.
Wazo zuri, ila Mtasha mwenyewe asiwe Kishuka, Ndugu yetu atachanganyikiwa mara mbiliJilipue kwa mtalii wa kitasha..., ukifumba macho na kufungua utajikuta ktk mojawapo ya nchi zilizotajwa hapo juu!
ha ha ha ha ha ha le MBEBEZzzz U KnowLe mutuz pliz gv ur 30 years experience advice , back to bongo with dolla buku u know . Humbled [emoji1545]
Kumbe diploma tu?
Unatakiwa uwe na sifa kama za yule mwenyekiti!
ha ha ha ha ha ha le MBEBEZzzz U Know
Ulaya kazi ni kuhudumia matahira u know Zamaradi
Dah mkuu kama movie vile...hii ndo njia unayoweza kuwa raia wa uk au canada ndani ya mwaka mmoja
tafuta passport ya bongo i hope unayo then nenda botswana
ukishafika botswana fanya mpango utafute passport ya botswana.........hii unaweza tumia shortcut mkodi mwanamke funga naye ndoa then tumia vyeti vya ndoa kupata uraia wa botswana
ukishapata uraia wa botswana tenganisha ndoa we ubaki na uraia.......
then tumia passport ya botswana kwendea ulaya kuna nchi kama uk na canada ukiwa na passport ya botswana unaruhusiwa kukaa miezi sita bila visa
then ukishafika uk or canada find a girl wa kumuoa kwa makubaliano then tumia vyeti vya ndoa kuprocess uraia
ukishapata uraia tenganisha ndoa baki na uraia wako demu mkatie chake asepe
anza michongo yako ukiwa na full documents
ukiwa na documets zako
utaweza process kazi,sholarships and other good stuffs....
kwa diploma ya IT kupata kazi kirahisi fanya mpango wa certifications CISCO certification is better for networking jobs.Then gonga jiwe lako la IT au software eng.umemaliza kazi
>>>>>>>>>>anything can be hacked no matter what>>>>>>>
we utakuwa kada wa lumumba tuembu jaribu kufikiria kitu kingine tena,achana na ndoto za ajabu au mtafute yule baba wa humu alienda ng'ambo na kurudi
tehe tehe tehe wasalimie mombasawe utakuwa kada wa lumumba tu
Ninoma aisee inaelekea hii njia umeitumia sio kwampangilio huuhii ndo njia unayoweza kuwa raia wa uk au canada ndani ya mwaka mmoja