Mahitaji muhimu ya kuvuga paka.sahani ya chakula,bakuli LA maziwa,kitandiko au nguo maalum za kulalia sebulen na chumbani kwake,beseni LA mchanga kwa ajili ya yy kijisaidia.akikua utapumzika.. kubadili mchanga,dagaa wake,pia mtafutie eneo moja tu umuoneshe LA kulala na beseni lake LA kujisaidia basi..tena hapo mko wengi mtreni kumpa chakula asubuhi na usiku.kwa jirani hatokanyaga hata siku moja...MPE jina lake alijue...Wadudu wakijinga plus panya kwako ni kituo cha polisi itakua.