Ushauri:Nataka nifuge paka

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Habari zenu wapendwa na poleni na mihangaiko.
Jumamosi iliopita nilienda kwa rafiki yangu na nikakuta wanauza vipaka vyenye takribani wiki mbili toka vizaliwe, Vile vipata vina rangi nzuri na vinavutia sana.
Hapa nilipo bado i am quite convinced i do need a cat hapa napokaa so next week itabidi niende kuchagua nimlete paka kwangu.
Mazingira ya hapa pana nyumba kubwa ya mama mwenye nyumba na kwa nje tupo wapangaji watatu , Nyumba hii ina frnsi ndefu, geti, miti ya matunda, na pia mama wa hapa anafuga kuku wa kienyeji kwa ufupi eneo la hapa ni kubwa sana na lipo fenced.
Mama mwenye nyumba hana shida anaruhusu kufuga pets ila usafi na kumlisha ni juu yako
Je ni mambo gani ambayo ungependa kunijuza kuhusu ufugaji wa paka ???
 
Unaonekana una hela jenga nyumba yako ndo uanze kufuga wanyama uwapendao. Hata nyumba ikiwa kubwa kama uwanja wa Taifa bado hauna hati miliki ya kujiamulia kufuga mnyama bila ruhusa ya mwenye nyumba

sipendi paka jamani uwiii ningekua mwenye nyumba wako nishakutimua zamani
 
Fensi ndefu, geti na miti ya matunda.
Hapo kwenye hiyo miti kama ipo karibu na fensi basi huyo paka lazima akapige misele nje.
 

Mmmh jamani!
 
daaaah Ila we jaa kiboko
 
paka wanapenda raha sana, sipendi paka alale kitandani kwangu(hiki kitu wanapenda sana,)
Alafu vile mtu ukikaa yeye anakuja kujisugulia kwenye miguu basi I hate hiyo tabia
Hahaha wataalamu wanasema paka akija kujisugua kwenye miguu yako eti ni ishara ya trust
.
Anyway, mi mwenyewe nawapenda sana ila sio kila paka maana wengine ni wakali, wachafu na hawapendeki.. Huwezi hata kumbeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…