\
Mkuu Brroklyn,
Nikwambie kitu, kila mtu ameoa kwa wale tuliooa mrembo kwa vipimo vyake sasa please usiliangalie hilo kwa mtazamo huo kwa sababu utakufa kwa presha tu..utakuwa unawaza kumridhisha wakati kumbe yeye anaweza kukugeuza buzi,
Pili, kukwazana kupo tu kila siku, ni jisni ya kuhandle hayo makwazo...nyie sio malaika.Ndio maana nashindwa kuelewa kwa nini anang'ang'ania kubadili gari orijino ya gari wakati kwa gari aina hiyo rangi nyeupe ndo mwake kama walivosema wengine
Tatu, kama upo mbali naye mkuu jaribu kuangalia sana, kumpa kila kitu sio suluhisho kuwa hatakusaliti!