Ushauri: Nataka kwenda Nigeria

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Hamjambo?

Husika na mada tajwa hapo juu, nimeona changamoto za maisha zimekuwa nyingi sana. Sasa nimeamua na mimi niende Nigeria kutafuta utaalamu wa kienyeji nifanikiwe zaidi kifedha.

Tafadhari mwenye uzoefu na hiyo nchi aniambie pa kuanzia, yaani nauli, viza, accommodation, mahali walipo wataalam, usalama n.k Au kama kuna mtu ana contact za mzee wa tuzo anitumie yeye ana uzoefu zaidi.

Nawasilisha na nitaleta mrejesho.
Asanteni.
 
Hahahaaa naona unataka kuwachefua watu ulivyomtaja mzee wa tuzo a.k.a Mr. Domo
 
Sorry, TB Joshua nasikia ana ofisi yake hapa town. So wadau watakupa direction ipo wapi ili upate wepesi zaidi.
 
karibu mimi napatikana abuja ni mtanzania nipo huku nabeba box kwenye kampuni ya ABH INTEGRATED RESOURCES
 
Bora hata wewe umeleta uzi huu kuchangamsha jukwaa,maana tumechoka na habari za Siasa.

Mkuu ukienda labda uishi hukohuko Nigeria,
Ukija Bongo watu wanatabia ya kutegua Mitego yoote na ukajikuta ni mtu wa vituko kila kukicha.

We angalia walioenda huko jinsi walivyo sasa hivi,kila kukicha ni vituko tu
 
Back
Top Bottom