Ushauri, Nataka kusoma Computer Science (Online Course)

poapoa, hata mimi nataka kuongeza maarifa tu na kuinenepesha cv. Nashukuru kwa mawazo yako kamanda Mr.laravel
 
Ahh jamani inategemeana kama anasoma ili apate cheti au ujuzi.kwa mm nayetafuta ujuzi yale maarifa yakinisaidia inatosha sana hata kama chuo siyo accredited.Ciao
 
Hivi computer science anaweza soma mtu yeyote hata asiekua na elimu yoyote ya computer?
 
Hizo module walizo kutumia ni introduction tu ya computer science,nadhani ndio maana wamekwambia utasoma bule,mimi nacho weza kukushauri kama una nia kweli ya kusoma course ya computer science online,tafuta vyuo vya india,utajifunza vitu vingi sana.
 
Hilo halina tabu, hata integrals na differential equations nazifahamu sana
Sasa huwezi ukasoma computer science ukaacha Data structure and aligorithm,sababu ndio base ya programming.
 
Hizo module walizo kutumia ni introduction tu ya computer science,nadhani ndio maana wamekwambia utasoma bule,mimi nacho weza kukushauri kama una nia kweli ya kusoma course ya computer science online,tafuta vyuo vya india,utajifunza vitu vingi sana.
Nataka kupata basic knowledge tu. Alafu hivyo vyuo vya india navyo wanafundisha hiyo kozi bure online? Nipo free huu muda kabla ya kwenda chuo ndo mana nataka kusoma hiyo kitu.
 
Sasa huwezi ukasoma computer science ukaacha Data structure and aligorithm,sababu ndio base ya programming.
Kuna mdau ndio katoa hiyo suggestion, sio mimi nimesema kama nataka kuziacha
 
Hivi computer science anaweza soma mtu yeyote hata asiekua na elimu yoyote ya computer?

Kama huna elimu ya computer inawezekana lakini itakuchukua muda zaidi, cha muhimu sana ni uwezo wako wa reasoning. Computer science ni broad sana, vipo ambavyo vinahitaji mtu anayejua hesabu, vipo ambavyo mtu yeyote anaweza, mfano, mtu ambaye anataka kufanya web designing ya front end, simple mobile applications, kama unajua algebra za kawaida unaweza fanya bila shida, backend pia software nyepesi nyepesi hazitokusumbua. Ila unapokuja vitu kama data mining mfano kujaribu kufanya computer mfano itambue tofauti kati ya spam mail na good emails lazima hesabu zikae kichwani, ukitaka kutengeneza drone ipae e.t.c

So cha muhimu sio kama umegusa computer before, cha muhimu jiangalie kwanza uko strong kwenye field gani, hasa za science mfano hesabu, phyics, chemistry, biology then chagua part fulani ya computer science ambayo angalau utaweza kuapply mambo unayoyafahamu, komaa hadi kieleweke.
 
Nashukuru kwa ushauri wako
 
Hesabu lazima uwe na mwanga kidogo mfano ukiambiwa usolve quadratic equation lazima uwe unaijua
Sio kidogo mkuu, sana hasa hizi topic 4, statistics, logarithm kama sijakosea spelling, Aljebra na Set
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…