Ushauri nataka kuoa

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,868
Reaction score
1,291
Wadau naomba ushauri m nataka kumuoa msichana wa ki2c kutokea manyovu kigoma...vp wa2 hawa wanafaa au niangalie mbele:faint2:
 
Najiulza mbona ndoa inachelewa? kumbe niko kwenye matazamio. duu nyie wanaume mnachunguza aisee.
 
Kama mnaendana kitabia endelea kabila isikutishe
 
wadau naomba ushauri m nataka kumuoa msichana wa ki2c kutokea manyovu kigoma...vp wa2 hawa wanafaa au niangalie mbele:faint2:

Unataka kujua kama wanamfaa nani?
Kama umempenda oa tu!
 
Kweli siku hizi hakuna mapenzi. Watu wanaulizana tu huyu anafaa!?? kwenye ndoa mmoja akikosea kidogo tu mwenzake anachepuka.


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Kwa maana hio ni zao la kutusi(Watutsi)
Waliokimbilia tanzania wakati wa Mauaji ya Kimbari mnamo 1994?
 
hafai huyo mkuu, mwache usioe kabisa, na nipe namba yake ili nimwambie kuwa hakuna ndoa. fanya fasta basi.
 
Najiulza mbona ndoa inachelewa? kumbe niko kwenye matazamio. duu nyie wanaume mnachunguza aisee.

Aisee mwanaume muoaji si huyu dadangu wala huyu asikupe definition ya ndoa kabisaaaaa!!!!!!!!

Muoaji haulizi mangi...acha bana!!!
 
Oa tu,afu uje utusimulie utamu wa ndoa..!
 
Wadau naomba ushauri m nataka kumuoa msichana wa ki2c kutokea manyovu kigoma...vp wa2 hawa wanafaa au niangalie mbele:faint2:
Du! Ni wavivu balaa! Wanaamka saa 4 asubuhi wanaangalia TV mpaka saa 8 usiku. Hawapiki wala hawaoshi vyombo! Chakula chao ni biscuit na juice tu! KAZI NI KWAKO!
 
Wadau naomba ushauri m nataka kumuoa msichana wa ki2c kutokea manyovu kigoma...vp wa2 hawa wanafaa au niangalie mbele:faint2:
Kufaa au kutokufaa inategemea na tabia zake kwani unaweza kudhani au kuambiwa kitu fulani juu ya mtu fulani but yaweza isiwe hivyo so it is u who will decide kutokana na mtakavyokua na huyo mtu.Jua Love is power can change anything from imposible to possible
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…