Ushauri: Nataka kuoa mke wa pili

Kang kin

Senior Member
Mar 21, 2017
154
122
Wanazengo umofia.

Mwenzenu nahitaji ushauri nataka kuoa mke wa pili na Mimi ni mkristo ushauri wenu ni wa muhimu sana.

#Uzi kileleni
 
Kama vipi Fanya uoe tu ili tujue wazi kuwa unazini, kuliko kujifichaficha utatupa tabu ya kukufuatilia mienendo yako, Mungu atajua akuhukumu vipi maana maandiko yanasema mke mmoja hadi kifo
 
Mkuu sema tu unatafuta justification ya kuchepuka and not otherwise... Maana in Principal Christians huo utaratibu haupo
 
Wanazengo umofia.

Mwenzenu nahitaji ushauri nataka kuoa mke wa pili na Mimi ni mkristo ushauri wenu ni wa muhimu sana.

#Uzi kileleni
Nenda bomani ila hakikisha kabla ya vyote mama watoto anajua na ukoo wenu best usije ukaingia kingi naukatengwa kila mahaliì0
 
Dah mke wa pili halafu ukute ww una miaka 45 above halafu unaoa 25 mbona miaka kumi ijayo utapata usumbufu
 
Neno "kuoa" mnalishushia hadhi yake. Wewe sema tu unampango wa kuongeza mwanamke nyumbani kwako na siyo kuoa.
 
Neno "kuoa" mnalishushia hadhi yake. Wewe sema tu unampango wa kuongeza mwanamke nyumbani kwako na siyo kuoa.
Sio kuongeza ni kuoa hata kama wangekuwa mia ni kuoa hatusemi ameongeza mke wa 20 sijui mwenzangu wewe ni mswahili wa wapi?
 
Kama vipi Fanya uoe tu ili tujue wazi kuwa unazini, kuliko kujifichaficha utatupa tabu ya kukufuatilia mienendo yako, Mungu atajua akuhukumu vipi maana maandiko yanasema mke mmoja hadi kifo
Mzee kwani waislaimu maandiko yao yanasemaje kuhusu kuoa?
 
Back
Top Bottom