Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

Hahahah we dogo umetisha! Ukweli mtupu.
 
Mkuu kweli kabisa samsung kwenye audio sio vizuri,Marehemu mzee alinunua Panasonic pale sound and vision kwa Benson tarehe 30.10.06 inapigaa balaaa ,ukiwasha subwoofer ndo lazima majirahi wajute.
😀😀😀😀😀😀
 
Kama ukipenda kuweka hvo,ila tofauti ya hiyo ya 250 na nyingine mnazozitaja ni kua speaker za hzo nyingine zina stand.ila function zote kama dvd,aux,fm radio,USB, recording kwenye usb ninapata kwa hyo 250 tu.
Kama shida yako ni kuona picha tu na sauti basi chukua hio ya 250 ila kama unahitaji kuona picha na sauti ya kusisimua chukua system ya 750
 
Music systems za siku hizi zile original hazitoi sauti nje kiasi cha kukera watu. Ukiseti speakers vizuri kwenye setting ya redio sauti inayotoka nje ni kama ya speaker ya simu ila ndani mziki ni mkubwa alafu surround balaa. Mi natumia Dennon
Hamna inategemea na aina ya muziki baab! Kuna homethatre na Hi-Fi systems.

Home theatre ni strictly for internal sorround sound. Inajaza mziki ndani katika eneo ulilopo tu ila mziki hausambai bali unakufata wewe tu. Ukitoka nje ya hio zone mziki hausikiki sana.

Ila Hi-Fi system ni kwa ajili ya mziki kwa uwanda mpana sana ndio maana hii system mziki wake unasikika zaidi nje kuliko ndani. Unaweza ukawa umewasha mziki kwa sauti ya kawaida tu ila mtu akipita kwa nje anaskia dundo la hatari sana. Hasa kama unaskiliza nyimbo yenye bass upate mnyamakazi Sony au Kenwood atavyokuwa anaichambua hio bass lazma mtu agonge hodi aje kuona huo mziki unatokea wapi!

So kama nia ni kusumbua mtaa kamata Hi-Fi system mpaka block ya 3 watatambua uongozi. Ila Kwa mziki wa kuenea ndani tu daka hometheatre japo kuna hometheatre ambazo zina nguvu hadi majirani wanaomba poo!
 
We sister hunitegi kwa hilo. Najua sana sometime mnatumia picha za wanaume huku ninyi ni wanawake... Mimi ni mtu mzima naelewa mitego hiyo baadaye uombe namba yangu nijue ni mwanaume kumbe ni mwanamke. Tatizo huwezi badilisha mwandiko. Mwandiko utakuhukumu.

Au unataka nikushushie mamvua chalyangu...picha si iko wazi tu hapo unaidekerea! Acha usela mavi arif
 
We ni Ngapulila!
 
Zote hizo tunatumia kwa shida na hatuna hela. Pia vijana wengi saiz hatujui music system hasa baada ya mchina kuleta hizi subwoofer zenye mdundo tu. Ila mziki upo samsung,Boss,Philips,Kenwood brands nyingine made in uk,usa na japan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda miziki yenye extreme heavy bass, kama huu wa BOSE unaousema.
Ni BOSE model gani hiyo Mkuu Komeo Lachuma?, nitajie model number yake, chunguliachungulia halafu niambie model number yake.
Nataka niangalie specs zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…