Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

Nilipita kariakooo majuzi nilikuta lg wt1000 kwa 540000
Japo siyo mtaalamu sana wa music lakini ilikuwa nzuri tatizo ni sifa ya kariakoooo
 

hahahaaa mwanangu umesisitiza balaaaaa duuuh
 
sasa hizi bei manabishana wakati kila mtu amenunua hometheatre hata kama ni samsung speaker tano lakini zinaweza kuwa na specification tofauti.kuna nyingine zina 3d sourrings ya sound.wengine player ina blue ray nyingine blutooth.nyingine ni smart enhanced ..sasa hivyo ni vitu tofauti.

ila kama wengi walivyoshauri LG Ndio wana mziki mzuri wakifuatiwa na sony.
na bosse systerm hiyo ni kiboko yao tatizo bei kubwa sana.
samsung hom theater ndo mpango mzima natumia hiyo bizaa mwaka wa 2 huu kitu bado kipya mkuu ila bajet yako czan kama itatosha
 
Mkuu nakushauri ununue Sony Home Theatre au Panasonic utafurahia maisha, zile za bei kuanzia 750k na kuendelea. Hao wawili wako vyema mno na ukicheki movie ndio utawapenda zaidi jinsi mashine zao zinavyochambua audio channels huku ukipata thrilling bass za radi au rev za engines!

Hawa wakorea Samsung na LG ni wazuri kwa display tu!
They are a complete garbage and wastage of you hard earned money in sound department na zote hizo nilishatumia nikianza na Samsung ambayo its a piece of junk nilinunua jeshini, it was a 300 watts 5.1 channel iliokuwa na speaker ndefu nne na center moja plus subwoofer. Nzuri kwa muonekano ila performance and durability 0 score! Bass ni mambo za kusikitisha, vile vitufe vyake viko very delicate vikaanza dumbukia ndani aisee.

Kuja kwa LG ambae namtumia sasa nae ni yale yale ya samsung its a 300w 5.1 channel ina stereo speakers 4 na center moja plus subwoofer. Haina maajabu yoyote yani bass ni mambo za kusikitisha yani ili kuipata at least uweke volume 18-22 hapo kwa muziki, kwa movie pia ni mambo ya aibu mzee!

Previously kabla sijahamia kwa hawa wakorea niliwahi kutumia Philips nayo ilikuwa 300w 5.1 Channel . Sio siri mwingereza alikuwa anatoa muziki wa maana bass ikiwa imesimama, ukiipa movie ndio dah wageni walikuwa wanasifia kweli wakiingia home na kukuta mashine ikipiga kazi.

Ushauri wangu tu ukiwa na budget nzuri kuanzia 750k na zaidi ndio at least waweza hometheatre kali ila ukienda shop usije kurubuniwa ukanunua uchafu wowote wa mkorea utajutia pesa yako! Nunua Sony, Panasonic ukishindwa chukua Philips zitakupa A1 perfomance.
 
Kama ukipenda kuweka hvo,ila tofauti ya hiyo ya 250 na nyingine mnazozitaja ni kua speaker za hzo nyingine zina stand.ila function zote kama dvd,aux,fm radio,USB, recording kwenye usb ninapata kwa hyo 250 tu.
Huo u theatre wa 250k ndio uchafu kabisa nahisi ndio sampuli zile zile nilizotumia za 300w....Hamna kitu humo! ingawa mi niliuziwa 350k.
 

Hio Sony itakuwa ya enzi zile za CD changer Hi-fi zenye VCD za early 2000's...Kitu made in Japan hio! Zilikuwa na built in function ya woofer!
Kuna uncle wangu alikuwa na mashine moja ya Sony 3CD changer Hi-fi system ilikuwa inakita balaa yani mziki ukiwa ndani ya nyumba sebuleni unausikia kawaida tu ila toka kwa nje ya nyumba utaipenda. Alikuwa akipiga nyimbo za Michael Jackson zile dah shida tupu yani huku na huku ngoma za Mr.Paul yani duh. Nilikuwa naenda kumtembelea kila weekend ili tu niskie kile kinu chake kinavyotwanga. Mjapani anajua kuunda vinu aisee nakubaliii!

Mashine ilikuwa model hii hapa grx88

 
Wakuu kwa wanaohitaji vitu vya eloctronics vyovyote vile ani pm namba yake nimtumie toka huku zanzibar.
Mi naitaji tv
Nina Samsung nilinunua 2011 kwa 280,000, iko Poa sana, muziki wa wastani wa kusikiliza ndani uliochujwa vizuri, nilinunua pale lumumba street Dar kwa dealer, haijasumbua chochote mpaka leo ni 5.1

 

Hahahaahah nimekumbuka hizi type yaredio....vibaka wakikutembelea kitu cha kwanza kuiba ilikuwa ni zenyewe ,lazima waibe redio ata kama ni ndog kiasi gani.
 
Kaka nakushauri nunua mziki wa pisi 5. Aina nzuri n Kenwood au Sony. Mimi nina Kenwood hatari kaka napiga hadi ktk visherehe vya mtaani. Kwa bajeti yako inatosha. Nichek pm
 
Mkuu kweli kabisa samsung kwenye audio sio vizuri,Marehemu mzee alinunua Panasonic pale sound and vision kwa Benson tarehe 30.10.06 inapigaa balaaa ,ukiwasha subwoofer ndo lazima majirahi wajute.

Mpango mzima ni SONY, Panasonic, BOSE, Tanberg, Bang & Olfusen ukipata moja ya systems hizo hutajuta.

Samsung labda TV na simu za mkononi basi.
 
Kaka nakushauri nunua mziki wa pisi 5. Aina nzuri n Kenwood au Sony. Mimi nina Kenwood hatari kaka napiga hadi ktk visherehe vya mtaani. Kwa bajeti yako inatosha. Nichek pm

Mkuu, hivi Kenwood bado zipo kweli?

Sizisikii tena siku hizi including Toshiba,Nakamichi pamoja na Telefunken!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…