Ushauri: Nataka kumuoa ila tunajuana na mama yake

Ushauri: Nataka kumuoa ila tunajuana na mama yake

teh teh teh kumbe kujuana na mama nako ni shida? cjawahigi waza
 
kwahiyo tatizo lipo wapi.. au unamfukuzia mwanafunzi wa shule ya msingi mkuu...!
 
Vijana wa mikoani mna shida,sasa kutongoza hamjui mnakuja kulia hapa JF na kama yuko Dar kijana wa mkoani sahau. Huku lazima aliwe papuchi kisha atasahau na hawezi rudi tena.
Hivi unajua sisi watu wa Dodoma siku hizi tunawaita Dar ndo mkoani?
 
Hivi mmemulewa mtoa post?
...mi najaribu kurudia rudia post kuisoma lkn sielewi ....nikijaribu kusoma post za wachangiaji ili nielewe lkn wapi!!!!!
 
Mnajuana kivipi na huyo mama hari inayokufanya ushindwe kumuoa huyo bin'ti yake! Fafanua vizuri babu
 
HUU UFALA SASA...SASA KUJUANA NA MAMA YAKE KUNA TATIZO..AU ULIMTONGOZA MAM AYAKE...AU ULIMTUKANAGA ...UNAZINGUA
 
Back
Top Bottom