Ndiyo maana nataka nipate chuo cha kuwafundisha kulinda. By the way, vibaka hawatoki mbali hivyo kujilikana tu kuwa umefuga hao wadudu kwako hawawezi kuthubutu kuruka ukuta usiku.Nyoka ana uma pale tu anapohisi unataka kumdhuru, bila hivyo anatulia tuli, kama sio kusepa..
Sawa, ila sidhani kama wanafundishika viumbe wale, sanasana kuwazoesha kutulia ili uweze kumbeba bila kukudhuru.Ndiyo maana nataka nipate chuo cha kuwafundisha kulinda. By the way, vibaka hawatoki mbali hivyo kujilikana tu kuwa umefuga hao wadudu kwako hawawezi kuthubutu kuruka ukuta usiku.
Hahahaha. Mkuu bado natafuta chuoUkifanikiwa kuwafuga mkuu niambie tupinguluwe urafiki............maana kwa kuusoma tu huu uzi wako ushanigeuza mlinzi wa leo maana sitolala. Hamna mdudu namuogopa kama huyu. 🙁🙁😕
Mkuu naona urafiki wetu unachungulia kaburi.....haya bwana.Hahahaha. Mkuu bado natafuta chuo
Mkuu nitaandaaje unga kabla ya kupata chuo? Naamini kuwalisha itakuwa cheap kuliko mbwa ambao vibaka wanaweza kuja na kuwatwanga risasi wote.Mkuu umeandaa unga wa kuwalisha lakin?
KAZI NDOGOHIYO KUNA BABU YANGU YEYE ANAWEZA KUTENGENEZA NYOKA AU CHUI XIMBA WANA KUA WALINZI WAMALIZAKO ZOTE UNAZO MILIKI HAIJALIXHI IPO WAPI MTU AXIYE MTOTO WAKO AU MKE WAKO HAWEZI CHUKUA LAZIMA ATAKUTANA NAHAO NILIO WATAJA KATI YAO HATAXHAMBANI MTU AKIOKOTA EMBE ATA ONANA NA MNYAMA MOJA WAPO JUUWanaJF kichwa cha habari chajieleza.
Watu wengi wamekuwa wakifuga wanyama kama mbwa kwa ajili ya ulizi usiku kuzuia vibaka. Tumekuwa tukiona vibaka wakivamia nyumba za watu na hata kuua hao wanyama kwa sumu au risasi. Binafsi vibaka wamewahi kulizia mara mbili kwa nyakati tifauti. Mara ya kwanza walikwangua kiIST yangu ikabaki nyeupe. Mara ya pili nikiwa safari wakakwangua TV yangu niliyokuwa naipenda kweli. Sasa nimepata wazo la kufuga nyoka tena nyoka hasa kama koboko na kobra kwa ajili ya ulizi wa nyumbani na hata kuwauzia wadau wengine.
Kama tunavyojua hapa JF pana wengi na palipo na wengi pana mengi pia. Naomba kujua kama kuna mdau anajua chuo au sehemu ninayoweza kupata hayo mafunzo ya kuwafunga nyoka na kuwafundisha kutokudhuru mfugani (kama ilivyo kwa mbwa).
Naona kama nikifanikiwa wadau wengi wataachana kuwafuga mbwa ambao ni gharama na sasa kugeukia mnyama nyoka kwa ajili ya ulizi wa makazi yetu.
Uzi tayari