Good Idea:
Pamoja na waliyoyazungumza wengine unatakiwa ujue yafuatayo:
1.Unataka kusajili katika ngazi gani? Wilaya au Taifa au Kimataifa.
2.Waanzilishi wa shirika ni vizuri wasipungue 10 jaribu kuwa "Gender Balanced"
3.Unataka kufanya kazi mjini,kijijini au Mkoani hii nayo ni muhimu wafadhili wengi wanapenda kufadhili miradi mikoani i.e rular areas.
4.Uwe na creative team...income generaters not fund seekers,commitment ya kutosha na uchapaji kazi.
Kila la kheri Mkuu