Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 972
- 1,150
Wadau,
Heri ya Kuuona Mwaka Mpya,Kama mjuavyo kuwa habari ya "mujini "kwa sasa ni "HapaKaziTu", hivyo ktk kutekeleza hiyo kauli mbiu, nataka kuanzisha hii business iwe maalamu kwa kufundisha na kutoa ushauri wa Ufugaji Nyuki na hapo baadae nataraji kufungua Duka kubwa la Asali.
Kituo changu pia nataka kiwe kinauza materials yanayohitajika ktk Ufugaji Nyuki.
Nimechaguwa hii Idea kwakuwa nimeona kwa sasa ni Fursa kubwa na watu wengi wana morali ya kufanya shughuli ya Ufugaji Nyuki.
Kituo cha Kazi na plan kiwe Dar es Salaam.
Hivyo basi,naomba ushauri wa mawazo juu ya "Benefits and Risks" za hii business..