Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 161
Ndugu yangu kunenepa majaaliwa maana mimi mwenyewe natamani niwe kibonge fulaani ila sinenepi hata nile gunia la mahindi zaid ya kuumuka mashavuKumbe boifrend wako mpenzi wa matiti juicy juicy mangoes 🤣🤣🤣🤣. Kunenepa sii ubugue mavyakula tuu utanenepa
Duh kweli balaaa....wengine bila kuangalia chakula ni kifutuka tuu.Ndugu yangu kunenepa majaaliwa maana mimi mwenyewe natamani niwe kibonge fulaani ila sinenepi hata nile gunia la mahindi zaid ya kuumuka mashavu
Vyote teali saivi nakula kwa kujiachia na siongezekiDuh kweli balaaa....wengine bila kuangalia chakula ni kifutuka tuu.
Umejaribu kula kiepe wiki mbili mfululizo ?
AsanteJambo kubwa la msingi ni kujikubali
Acha tabia ya kujilinganisha na mtu/watu wengine...wewe ni wewe
Unene ama uwembamba sio kilema,ni mambo yanayoweza kubadilika
Halafu kwenye kuwa na maziwa makubwa hapo mbona sio mbaya,mie ni mmoja wa watu wanaopenda kumiliki maziwa makubwa...ni vile tu sijabahatika na nimeamua kujikubali
Rudi kwenye ile spirit yako ya mwanzo ya kujiona vizuri
Usitoe nafasi kwa mtu yoyote kuharibu furaha yako
Nashukuru sanaPole sana ila sioni tatizo hapo ningependa kukushauri achana na kuvaa suruali maana hua zinawachora sana jiamini mwanamke hayo maziwa na wembamba sio ulemavu pia ujue binadamu tupo kuongea hata kama ni vitu visivyo na tija we puuza tu jipende mwenyewe .
Sasa hapa umeandika Nini....suala la kunenepa na kukonda linahusiano gani na kuubwa, ndio umeaumbwa mwembamba lakini Mungu kakupa uwezo wa kujinenepesha na kujikondesha....Naona tatizo ni Mindset hapa.boyfriend aliniambia kuwa anahitaji ninenepe , wakati sijajiumba
Asante kwa ushauriUwezi mfurahisha kila binadamu, ata ukinenepa leo watakusema kesho kwa huo unene. Simama mbele ya kioo jiangalie sema "huyu ndio mimi na hiv ndivyo Mungu aliona nastahiri kuwa, ndio watu watanisema ila huyu ni mimi ni mimi nilie perfect siitaji mtu kunikamilisha tena"
anza kuwaonesha kuwa huyo ni wewe na unafurahia kuumbwa hvyo mwisho wa siku watakuelewa tu.
Usikubari kubadilisha umbo kisa watu wanakusema.
wewe ni mrembo ujapata tu mtu/watu sahihi wa kukuonesha uzuri wako
NashukuruMbona mi wanawake ya type yako ndo napenda sana
Kuna kitu inabidi ujue mitandao inadanganya
For 12 years,sijawahi ku date na mwanamke mwenye kilo 55 kwenda juu wote ni vimbaumbau ingawa napenda vimbaumbU vyenye vinavyojua kuvaa.
Mara kibao nimejaribu ku date mabonge si malizi nao ht week 3.Hapa nimelala na mademu wembamba Zaidi ya 16 hata wife hataki kabisa nizoeane na wanawake wembamba km yeye maana anajua nitawatamani.Jiamini binti hata wewe una utamu wako ambao mabonge hawana
Nachotaka kukwambia kila mwanaume ana taste yake.Mi nasisimka sana nikilala na slim woman kuliko bonge haya ukinenepa mi napata wapi mademu wa type zangu..
Hiyohiyo mihogo inAyoitwa chakula cha masikini,uswahili ndo inapendwa balaa
Una miaka 27,Una urefu gani,uzito gani,rangi ya ngozi ikoje.Kujikubali kunaanza kwa kujipenda.Uzuri sio sura au umbo hata personality nayo huongeza uzuri.Mimi nina watu ambao ninawafahmu wana mvuto wa kimaumbo ila wana personality za ajabu mpaka wanatisha.Habari zenu , mim n binti wa miaka 27, jamani mwenzenu nashindwa kabisa kujikubali na kujiamini kutokana na umbo langu na watu wananisema Sana Jambo linalonifanya nizidi kujiona sipo vizuri.
Ni mwembamba yaani sina hipsi hata kidogo ,nina mapaja madogo Sana ,pia nina maziwa makubwa , nilikuwa nikijiona vizuri tuu na kujikubali hapo awali lakini kutokana na watu kunisema ovyo ,najiskia vibaya mno.
Ilifikia wakati nikawa nasemwa na watu kuwa Mimi ni magonjwa wa gonjwa fulani ,niliumia sana baada ya kupata habari hizo ,lakini sina ugonjwa wa aina yoyoye ile , Jambo hili linanifanya nikose ujasiri kabisa ,.
Nina boyfriend lakini nakosa hata ujasiri wa kuwa nae mala kwa mala hadi kuna muda nawaza nivae nguo za aina gani labda nitaonekana vizur,Kuna muda hadi boyfriend aliniambia kuwa anahitaji ninenepe , wakati sijajiumba Mimi.
Nahitaji faraja yenu wana jf ,au nivae mavazi gani, au nifanye nini nami niwe na muonekano mzuri na wa kuvutia?