Ushauri nasaha na unasihi

Kwani umeambiwa vituo vya ushauri nasaha vimeisha? Yani nyuzi zako zote ni hizi tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


 
Yani we jamaa umejiunga JF 2016 hujawai post hizo nasaha zako hata moja af unataka tuujuaje uwezo wako.

Andika nyuzi za mambo ya Career yako na mwisho weka namba yako ya simu.

Ww huoni wenzio wanaomba airtime maredioni wanafundisha kitu af mwisho wa siku wanatoa mawasiliano.

Mtoto wa Baba njoo uhudumiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…