Ushauri Nape kafanye Mkutano wa Hadhara Arusha Mjini

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Ndugu nikushauri uende Arusha ukakijenge chama chenu kwani vijana hapa wanahitaji kijana mwenzao awaeleweshe waweze kusupport chama pia uje na Ridhiwani bwana Karibu Arusha.
 
Kwani anashndwa anakuja na "kajeshi" kao wanakaita Green guard wanapga hao.
 
Ni vizuri kuwasikiliza, kuongea kwao ndio kuna wamaliza, kwani ni waongo na wazandiki. Tuwasikilize tuwapuuze.
 
Back
Top Bottom