DAh unanipa mokar kaka ngoja nmpe vidonge vyakeWewe unaamini huko alikotoka hakuna wanaume sio? Unafikiri sisi wote tutamuonea aibu! Kwani yeye ni nani? Mchane akikutaa achana nae! Simple and clear...... Ni aibu sana mwanaume kuanza kumtetemekea mwanamke.
siku hizi humu wamejaa watoto wa chuo tupu"Kuna demu fulani nasoma nae chuo hapa Dar." Naona 90% ya wanaume wa JF, mademu zenu mmefanikiwa kuwapata mkiwa chuo