Ushauri: Nampenda, ila hanipigii wala hanitumii SMS kama zamani

Alvin Moon

Member
Oct 2, 2017
9
3
Nampenda sana huyu msichana kwasababu kuna fadhila nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye.

Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasahivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona. Hanipigii wala hanitext kama zamani, nikimpigia hapokei na mkali, lakini hata kila napotaka kukaa naye yeye hataki anawaka.

Nisaidieni sio mke ni girlfriend tu lakini nampenda na nina ndoto nae.
 
nampenda sana huyu msichana kwa sbb kuna fadhira nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye. Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasa hivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona. Hanipigii wala hanitext kama zamani, nikimpigia hapokei na mkali,lakini hata kila napotaka kukaa naye yeye hataki anawaka, nisaidieni. sio mke ni girlfriend tu lkn nampenda na nna ndoto nae.
 
Attachments

  • FB_IMG_1506251877510.jpg
    FB_IMG_1506251877510.jpg
    44.7 KB · Views: 38
nampenda sana huyu msichana kwa sbb kuna fadhira nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye. Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasa hivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona. Hanipigii wala hanitext kama zamani, nikimpigia hapokei na mkali,lakini hata kila napotaka kukaa naye yeye hataki anawaka, nisaidieni. sio mke ni girlfriend tu lkn nampenda na nna ndoto nae.
Hukumpa kipaumbele zamani, wansojua priorities zao wameshamteka. Sorry broh
 
nampenda sana huyu msichana kwa sbb kuna fadhira nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye. Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasa hivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona. Hanipigii wala hanitext kama zamani, nikimpigia hapokei na mkali,lakini hata kila napotaka kukaa naye yeye hataki anawaka, nisaidieni. sio mke ni girlfriend tu lkn nampenda na nna ndoto nae.
Tayari kuna mtu anampa muda wake we endelea na ubize wa maisha utakutana na mwingine uko uko
 
ww una ndoto naye na yy kuna mtu ana ndoto nae

haya ndo mapenz so chukua tu maamuz magum labda ukaze siku umfume na mpenz wake ufe kwa presha
 
Ukiona hivyo kashapata wa kumpenda mkuu ambaye anampigia na kumtext kila mara pole sana unapenda usipopendwa
 
Nampenda sana huyu msichana kwasababu kuna fadhila nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye.

Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasahivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona. Hanipigii wala hanitext kama zamani, nikimpigia hapokei na mkali, lakini hata kila napotaka kukaa naye yeye hataki anawaka.

Nisaidieni sio mke ni girlfriend tu lakini nampenda na nina ndoto nae.
Anaona unamchezea akili, ni ujinga kuwa cold kwenye mawasiliano na yeye hlf siku zote yeye awe anakutafuta...inawezekana ulimfanya ajione hapendwi na anajikombekeza kwako. Ulichokosea ni kumuweka pembeni acha wenzio wamuweke kwenye himaya.
 
USIWASIKILIZE HAWA ENDELEA KUTAFUTA HELA WANAWAKE WENYEWE HAWAELEWEKI HAWA UNAWEZA KUWA UNAMTAFUTA KILA WAKATI NA WAJANJA WAKAPIGA KAMA KAWA SASA HIV SHOW TIME BUKU MBILI UNA MSHUSHA MPAKA BUKU JERO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom