Alvin Moon
Member
- Oct 2, 2017
- 9
- 3
Nampenda sana huyu msichana kwasababu kuna fadhila nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye.
Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasahivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona. Hanipigii wala hanitext kama zamani, nikimpigia hapokei na mkali, lakini hata kila napotaka kukaa naye yeye hataki anawaka.
Nisaidieni sio mke ni girlfriend tu lakini nampenda na nina ndoto nae.