Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,118
- 1,398
Ninakubaliana na hao wanaosema unafanya mno kwa pupa. Kuwa na mda mzuri naye anapokuja na ni vizuri mkashauriana kutoka hapo nyumbani na kubadilisha makao kama kwenda hotelini kama uwezekano upo. Pia ni vizuri kujikumbushaupendo wa kwanza mlipokutana mlikuwa mnafanyaje hayo mambo. Wakati wa sex fanyeni kwa kubadilisha mikao mbalimbali. Mkifanya mara ya kwanza, ongeeni, tanianeni na kumwabia baba nimekumiss sana. Endelea kupata ushauri wa wengine.