BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Pia mnaweza badilisha venue
Hadi hapo kuna kitu nimebaini!Ni God sio god
LogicHuyo hubby wako na yule mchepuko wako nani ana nafasi Kubwa moyoni mwako? Weka wazi kila kitu ufaidike na ushauri nzuri.... Usifiche fiche na hayo madudu yako yanayokusababishia kukinai...
Jamani habari zenu,
Naombeni ushauri about hii kitu,
Mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, niko mbali na my hubby kutokana na kazi yake huwa anakuja after a month or even 2 months, shida ni kwamba huwa nakuwa na hamu sana ya kusex nae lakini akija tukishafanya just once nakinai kabisa and nakua totally bored, sometimes huwa nakuwa mkali every time he touches me, na sio kama hajui mapenzi he knows zaidi ya, but sijui nini tatizo na hapo mwanzo sikuwa hivyo.
Please guyz nishaurini.
Depends on who she worships. Not all worship God there are some who believe in gods.Ni God sio god
hahahahah hata mimi bibie naona it is not farJaman cjawh kufikiria kuchepuka ever since nimeolewa na wala cna mchepuko even god knwz if u wish kuadvice do it lakn cio kujaj na kuconlude basng on ur thouts its not far
Samahani: orgasmtuanzie hapa, utamu huwa unapata au la??? je huwa unafika (organism) yaaan sio ile feki ila mpaka unakaamaaa unamuuma na meno unanena kwa lugha??? nijibu nitakuja baadae kukushauri
nin mkuuSamahani: orgasm
Ni orgasm mkuu sio organismnin mkuu
hahaaa...Ni orgasm mkuu sio organism
hahaa... kajitahidi aisee.. mim kaniridhisha vizuri tuu ila wadau ndo hawamridhishiSio tu kumridhisha mmeo pia humu ndani umeshindwa kuturidhisha kwa maelezo yanayoeleweka ili upate ushauri
There is someone else who is compared with the so called hubby" uandishi na maelezo yako ndiyo vimeamsha maswali kama haya,na sio kama hajui mapenzi he knows zaidi ya
zaidi ya nani?!
Maswali anajibu hataki kujibu..Please usije ikinahi na hii thread! Tutahakikisha unaridhika
Siyo God ni GODNi God sio god