Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Ila usinunue light mkuu, nunua w3 pekee
shukrani mkuuTsh 130000
shukrani mkuu kwa muongozo makiniHiyo simu mbovu sana labda nunua tecno w3x
shukrani mkuu kwa muongozo makiniUsithubutu kununua tecno w3, nunua W3LTE au W3X. Hizi w3 zinaugonjwa wa kuzimika zenyewe na haziponi.
shukrani mkuu kwa muongozo makiniIla usinunue light mkuu, nunua w3 pekee
shukrani mkuu kwa muongozo makini130-140
Mimi natumia w3 ziko Poua mkuu sanaasubuhi nimejipanga kwenda kununua simu aina ya tecno w3 naomba kujua bei yake wasije nipiga za mbavu pia naomba mnifahamishe vitu muhimu vya kuzingatia
Mkuu iyo simu yako ume irootMimi natumia w3 ziko Poua mkuu sana