CHURADUME
Senior Member
- Jul 18, 2016
- 141
- 124
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mjasiriamali ni fundi nguo lakini kwa muda mrefu nimekuwa nataka kubadilisha fani hiyo niwe fundi simu kwa sababu najua kutengeneza simu za mkononi sasa changamoto ni jinsi gani nitaweza kubadilisha fani hiyo.
Nina omba msaada wa ushauri nijinsi gani nitapata njia sahihi ya kubadilisha mfumo huu wa kazi kwa sababu napenda kutengeneza simu kuliko kushona.
Asanteni sana
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app