T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,298
- 44,767
Haina tatizo hiyo.Age 32 na 30, ase sio kweli. Mi sio muhumini wa age difference fupi kiasi hiki.
Vipi tatizo la mwanamke kutokuona siku zake kwa miezi ata mi 4 then akiona anakaa tena miezi kadhaa inaweza kuwa na complication kwenye uzazi
Sijaelewa! , Kwamba hi operation ilikuwa inalenga kuweka homoni sawa, au kulevusha mayai,.. madaktari tuambieni Kama hayo matatizo mawili yanarekebishwa kwa operations!!!Hormone zilionekana sawa shida mayai hayapevuki
Miaka 4 ni michache kama kweli unampenda....na sio kama ni lazima iwe ivo, mnaweza mkapata tiba mapema watoto mkapataIngekuwa hakuna shida katika uzazi nisingewaza but hofu ni pale tunafunga ndoa then tutafute watoto kwa miaka 4
Hayo mengine yanasababishwa na uzazi wa mpango.Vipi tatizo la mwanamke kutokuona siku zake kwa miezi ata mi 4 then akiona anakaa tena miezi kadhaa inaweza kuwa na complication kwenye uzazi
Umesema alikuwa na miaka 28 mwaka 2019 si ndiyo! Enhee, endelea…..
Hili ndo la msingiSijaisoma yote but kama mwenzio anahofia kushindwa kupata mtoto na anajaribu kuharakisha kupata mimba..
Why usim support?
Uyo mwanamke wako mwambie aende kanisa la kweli akaombewe izo spirits zimtoke. Anapambana na roho zinazo zuia matokeo hatopata mtoto na hautomuoa wether unataka au hautaki ata wewe hautomuoa just kuna spirits zinawatenganisha coz mngekua na powerful and best couple. Usipuuzie haya nnayo ya sema coz nna hela, upeo, uelewa, imani na kuona ya mbele kuliko wewe.
Mwambie mwanamke wako alitafute kanisa linaitwa Reality of Christ. Liko Sinza Bigbon. Na nimeongea haya kama msaada wangu mkubwa kwenu na sitoi promotion au kutangaza kanisa ilo hapana mie mwenyewe nimelionea tu You Tube ila nimefikia hitimisho nyumba ile kuna Mungu wa kweli ambao moja ya clips nilizo ziona watu wana shuudia exactly sawa sawa na matatizo ya uyo mchumba wako.
chukua au usichukue shauri yako. Ila hii ndio comment itakayokusaidia wewe na mchumba wako. All You need is YouTube.

Kumbe!!!!Sio kukaa naye ni kuwa katika mahusiano sisi waislam atuna kukaa bila ndoa