Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,371
- 111,643
Masharti magumu kivipi? Utakwenda vipi kusoma nchi za kingereza bila kupimwa uwezo wako wa lugha?Kwanza jamaa anaitwa EBM na siyo IBM,jamaa huyu anaongea mambo mengi sana lakn yote ni magumu sana kwa wa Tz,anaongelea scholarship zenye masharti ya IELTS na TOEF yaani kiufupi yupo more complicated sana hana plan B kabisa.
Wewe hauko well informed, dini hasa makanisa ndio biashara inayolipa sana kwa sasa na haina hasara, weww wajaze hofu kondoo tu kuhusu mbinguni ingawa hujawahi kufika utasambaziwa upendo.simamia lengo lako mkuu na pole kwa yaliyokukuta mimi naona Elimu ni nzuri zaidi endapo utarudi hapa kwetu Tanzania utapata kwa kushika, dini kumbuka kwamba nchi yetu haiamini masuala ya kidini kwa hiyo kutoboa ni ishu
So sad, mnaishi vipi mjini mpaka mnakwama kwa kitu kama hiki?umempa wazo zuri mimi nilishindwa kulitumia hili nilipopata nafasi ya kusoma Cardiff nchini UK walitaka niwe na account kutoka kwa sponsor wangu isiyopungua 25mil nikashindwa kwa kigezo hicho
Dini inahitaji kipaji sio mtu yoyote anaweza kuwashawishi Kondoo waende kwakeWewe hauko well informed, dini hasa makanisa ndio biashara inayolipa sana kwa sasa na haina hasara, weww wajaze hofu kondoo tu kuhusu mbinguni ingawa hujawahi kufika utasambaziwa upendo.
Yule muhindi wa Agape Fernandes pesa za sadaka amefanikiwa kumsomesha mtoto wake chuo bora kabisa Marekani na sasa anamiliki App ya Nala.
So sad, mnaishi vipi mjini mpaka mnakwama kwa kitu kama hiki?
Mkuu kwenye hayo mambo unayoyaona magumu ndimo kuna mafanikio,kweli bila ujuzi wa lugha kupata vyuo na scholarship ni changamoto sana.Kwanza jamaa anaitwa EBM na siyo IBM,jamaa huyu anaongea mambo mengi sana lakn yote ni magumu sana kwa wa Tz,anaongelea scholarship zenye masharti ya IELTS na TOEF yaani kiufupi yupo more complicated sana hana plan B kabisa.
Nashukuru kwa kushare experience mkuu, nipo kwenye mchakato huo, nafanya bidii kubwa nilifanikishe hili.umempa wazo zuri mimi nilishindwa kulitumia hili nilipopata nafasi ya kusoma Cardiff nchini UK walitaka niwe na account kutoka kwa sponsor wangu isiyopungua 25mil nikashindwa kwa kigezo hicho
Ni sahihi, na baadhi ya vyuo imebidi nifanye online interview kupitia ZOOM kwa dakika 45, ujuzi wa lugha ni kigezo kikubwa sana katika kupata chuo na scholarship.Masharti magumu kivipi? Utakwenda vipi kusoma nchi za kingereza bila kupimwa uwezo wako wa lugha?
Kumbuka watu wengi huwa wanatumia Admission letter au hizo I 20 kuombea viza tu na siyo wasomaji wanakwenda kupiga box.
Ndio sababu mtu yeyote aliyepata GPA nzuri kwenye degree ya kwanza ni gurentee lazima apate scholarship wala huitaji ndumba wala uchawi.
Hivi kama una nia ya kusoma kweli kwenda British council na kusoma kozi ya kingereza na kufanya hiyo mitihani yao shida iko wapi au huo ugumu uko wapi hapo? Sasa ukiogopa mtihani wa kingereza huyo consular ubalozini unakwenda kuongea naye vipi? Na student viza huwezi kufanyiwa interview kwa kiswahili ni lazima ujuwe lugha na siyo magumashi ya Yes no you know watakupiga chini ilihali una documents zote, watajiuliza tu kingereza hujui unakwenda kusoma vipi nchi inayotumia Kingereza? Utapeli, human trafficking.
Mkuu tatizo ni kukosekana kwa uaminifu baina ya watu, umaskini na ufinyu wa mawazo, hii imenikuta hata mimi zaidi ya mara mbili, kila nikijaribu kumuomba mtu awe sponsor wangu, na kunisaidia bank statement inaruka 100 miles. Wengi wanadhani pesa inaweza chukuliwa kwenye account na hofu nyinginezo, ni changamoto kubwa sana kufanikiwa, hasa katika jamii zetu hizi.Wewe hauko well informed, dini hasa makanisa ndio biashara inayolipa sana kwa sasa na haina hasara, weww wajaze hofu kondoo tu kuhusu mbinguni ingawa hujawahi kufika utasambaziwa upendo.
Yule muhindi wa Agape Fernandes pesa za sadaka amefanikiwa kumsomesha mtoto wake chuo bora kabisa Marekani na sasa anamiliki App ya Nala.
So sad, mnaishi vipi mjini mpaka mnakwama kwa kitu kama hiki?
Mkuu Hawezi kujiunga na jeshi kama siyo Raia, na pia hana Green card na visa atakayoenda nayo ni "non-immigrant visa".Omba kujiunga na jeshi lao, uende ukaserve ukitoka kutumikia jeshi unapewa na uraia kabisa tofauti na wale wenzako wanaosoma ili baadae wafukuzie kazi itawachukua miaka zaidi ya kumi kupata uraia.
Ila wewe ukitoka zako kutumika jeshini ambazo huwa mission zake sio ndefu sana unapata nishani ya heshima na tuzo, malipo juu ya kuanza maisha plus uraia juu ukae unavyotaka.
Ndio uhalisia mkuu, hata ukitaka kwenda canada or UK kusoma , kama unatoka nchi ambayo wanaongea lugha tofauti na Eng, watahitaji IELTS (mtihani wa kingereza ) na vyuo baadhi hata kama hujapiga mtihani kwao its okay! , kwa US pia wengine watahita TOEFL,Kwanza jamaa anaitwa EBM na siyo IBM,jamaa huyu anaongea mambo mengi sana lakn yote ni magumu sana kwa wa Tz,anaongelea scholarship zenye masharti ya IELTS na TOEF yaani kiufupi yupo more complicated sana hana plan B kabisa.
mkuu huko Asia ulipokuwa unapiga kazi ,emu niuunge au ulifanyaje kupata connections?Nashukuru kwa kushare experience mkuu, nipo kwenye mchakato huo, nafanya bidii kubwa nilifanikishe hili.
Nimejibu kiongozi, karibu tena.Mkuu nimekupm kaka
Weka neno Mkuu.Pazur hapa
Ahsante kwa ushauri Mkuu.Kwasababu ni partial scholarship
Kwenye kuomba visa wataangalia , scholarship yako ina cover nini?
Hakikisha una account ya bank inayofanya transaction ,sio account ipo dormant then siku moja tu umediposit mkwanja mrefu
Itakusaidi kwenye bank statement!
Fanaya kila uwezalo upate pesa mkuu, uza hata mali zako , kama unahisi kabisa ndoto zako ni kwenda kuishi na kusaka life huko!
hizo scholarship ni kama vita kupata ni bahati tu lazima uwe aggressive ... *unashindana na watu kutoka nchi nyingi sana *
Na kwenye visa interview lazima uwahakaikishie utakapo maliza masomo yako , kuwa ni yako ni kurufi bongo kuitumia elimu uliyoipata huko , wakikuhoji tu na kuhidi unataka kuzamia mazima huko unawe,a nyimwa visa
Mkuu nisikuvunje moyo, jaribu kutafuta connection kwa ma agent wa kazi za nje hasa nchi za Uarabuni unaweza kupata, japo charging fee yao ni kubwa pia.mkuu huko Asia ulipokuwa unapiga kazi ,emu niuunge au ulifanyaje kupata connections?
mimi niko nchi jirani napiga kazi ila nataka niende mbele zaidi
Kwa uzoefu wangu na nilichokiona ni kwamba sio wote waliofanikiwa kupata us visa walienda ama hua wanaenda na bank statement yenye kiwango halisi cha pesa, kikubwa account ya bank iwe ya ukweli yaan iwe active then inatengenezwa kwa kuongezewa hela, during the interview consular officer anaweza kukuomba na kupitisha macho kwa kuangalia amount iliyopo then anakurudishia. narudia kikubwa account iwe active, wapo watu hua wanaziongezea ela, na wengi wamefanikiwa na kupata visa. kwa reference wapo pia nawajua walofanya ivo na visa zao zikawa approvedMkuu tatizo ni kukosekana kwa uaminifu baina ya watu, umaskini na ufinyu wa mawazo, hii imenikuta hata mimi zaidi ya mara mbili, kila nikijaribu kumuomba mtu awe sponsor wangu, na kunisaidia bank statement inaruka 100 miles. Wengi wanadhani pesa inaweza chukuliwa kwenye account na hofu nyinginezo, ni changamoto kubwa sana kufanikiwa, hasa katika jamii zetu hizi.