Ndugu iyo haiwez tokea muulize dogo atakuwa alibadilisha tu kabla system haijafungwami mwenyewe nimesoma sijawahi kutana na hilo....ila limetokea kwa mdogo wangu mkuu
sio mimi ambaye kwanza niliyefanya hiyo application ko hata mimi nimeshangaa! sasa ukiniambia natafuta kiki.....kuna vitu vya kiki sio hicho!Ila hiyo hoja yako ya kusema TCU wamemchagua katika program ambayo hakuiomba ni uongo..nikutafuta kiki hapo na TCU..kwanza alikuwa anataka kusoma nn ukiachilia na hiyo program??