Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Habari wanajamvi
Nina mdogo wangu amechaguliwa chuo UDOM kozi inaitwa bachellor of science in biology kitu ambacho hakuchagua kati ya yale machaguo ya tcu
Sasa naomba mawazo yenu juu ya hii faculty na field yao ni sehemu gani?
Na je, anaweza kubadilisha baada ya kufika huko?
Naomba mawazo yenu na michango yenu nimpe mwanga mdogo wangu.....