Ni jambo zuri na hongereni sana kwa maamuzi hayo, binafsi nimependa. Je mpo wapi hasa ili iwe rahisi kuwapa mawazo muafaka. Lakini bila kujali mlipo, Nawashauri kilimo cha mboga mboga na matunda. Mchimbe kisima mfanye kilimo cha umwagiliaji kwa matunda kama nyanya, vitunguu, matikiti, matango, ndizi nk.Upande wa mboga kama spinach, mchicha, maboga nk hakika mtatoka.
KILA LA HERI