Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
Mkuu si hili tu kuna thread nilianzisha ya njiza za kuweza kutumia kupata wazo borakabisa la Biashara, Tatizo watu ni wavivu wa kufikiri na wanzania Ujasirimai ni kitu simple, Belive or not kama kutafuta wo la bishara unahindwa hata biashara utashindwa kuendeha make haya mambo yanaendana pamoja,
uwezi ukatenganisha kuumiza kichw kutafuta wazo la baishara nakuendesha hiyo biashara,n badae mtu anarudu kuuliza sas niuze wapi? mara sijui nini,
ENTREPRENEURSHIP NI VERY COMPLICATED NA INAHITAJI UWAJIBIKJI WA KIWANGO CHA JUU KABISA
wadau wa ujasiriamali poleni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu na taifa bila kusahau mafisadi.
Nimechukua hatua ya kuandika uzi huu baada ya kuona jambo hili linajirudia mara kwa mara na watu pengine hawajagundua kuwa ni TATIZO.
Nimekutana na post nyingi karibu kila mwezi post mpya yenye kichwa NINA MTAJI WA TSH .... NISHAURINI NIFANYE BIASHARA/KITU GANI?
Kiukweli hili swali si swali la kuulizwa na mjasiriamali.
Kwa nini?
Kwa sababu mjasiriamali yeyote mtaji si fursa ila wazo la nini cha kufanya ndiyo deal. kutKatika ujasiriamali watu hawaanzi afuta mtaji kwanza wanaanza na wazo la biashara yenyewe:
je ni biashara ya aina gani?
Hapo ndipo ilipo tofauti ya mjasiriamali wa kweli na anaye-copy na kupaka. Aliyeona fursa na kuitafutia mtaji huwa hakati tamaa, ila aliye na mtaji kisha akakutana na changamoto za kufa mtu, hukata tamaa, au hurukia biashara nyingine kwa kusikia simulizi za walio fanikiwa, asijue kila aliyefanikiwa kwa haki kapita changamoto kibao.
Wadau, kwanza me nadeclare interest; me ndo kwanza mgeni humu lakini najuta kwa nini nmechelewa ku2mbukia. Baada ya hayo nmeamini wa2 humu are very sereous for helping each other. Lets move pamoja regadless ya tofauti ze2 kifikra... Aksanteni.
Ukweli mchungu kumeza
wadau wa ujasiriamali poleni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu na taifa bila kusahau mafisadi.
Nimechukua hatua ya kuandika uzi huu baada ya kuona jambo hili linajirudia mara kwa mara na watu pengine hawajagundua kuwa ni TATIZO.
Nimekutana na post nyingi karibu kila mwezi post mpya yenye kichwa NINA MTAJI WA TSH .... NISHAURINI NIFANYE BIASHARA/KITU GANI?
Kiukweli hili swali si swali la kuulizwa na mjasiriamali.
Kwa nini?
Kwa sababu mjasiriamali yeyote mtaji si fursa ila wazo la nini cha kufanya ndiyo deal. kutKatika ujasiriamali watu hawaanzi afuta mtaji kwanza wanaanza na wazo la biashara yenyewe:
je ni biashara ya aina gani?
Hapo ndipo ilipo tofauti ya mjasiriamali wa kweli na anaye-copy na kupaka. Aliyeona fursa na kuitafutia mtaji huwa hakati tamaa, ila aliye na mtaji kisha akakutana na changamoto za kufa mtu, hukata tamaa, au hurukia biashara nyingine kwa kusikia simulizi za walio fanikiwa, asijue kila aliyefanikiwa kwa haki kapita changamoto kibao.
food of thought Malila, biashara haindeshwi na pesa ila wazo. Natamani watu waelewe changamoto kubwa ya biashara si mtaji ila wazo/mbinu za biashara yenyewe
Hii thread ni ya ukweli lakini cha ajabu watu hawataki changia ila yote hii inatokana na michango yenu kwenda kinyume na wanavyotarajia au kuona wao..kiukweli ujasiriamali si kitu simple na ina taka moyo sana aisee big up wakuu..
food of thought Malila, biashara haindeshwi na pesa ila wazo. Natamani watu waelewe changamoto kubwa ya biashara si mtaji ila wazo/mbinu za biashara yenyewe
Hapa tuko pamoja, wazo kwanza. Chambua wazo vizuri,fanya upembuzi na ikibidi lipia gharama ili kupata mtiririko sahihi wa jambo lako. Weka action plan inayotekelezeka,kisha ingia mzigoni.